Eti hizi hela zimekamatwa wapi?

Makambako huyo jamaa wa selcom amekula kamba inayomzid kimo angekula urefu wa kamba yake asingekamatwa. Comed ya awamu ya 6.
 
Makambako huyo jamaa wa selcom amekula kamba inayomzid kimo angekula urefu wa kamba yake asingekamatwa. Comed ya awamu ya 6.
 
Yaani mwizi anataka kumzidi mwenye mali halafu anakuja kufilisika na kurudi tena kuomba msaada wa dawa

Kama huijui hela kaa bila hela tu
Wengine tumeamua kuwa rafiki na hela tu [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…