Eti hivi ndo kupendwa au?!!!

Pedra buyer

Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
97
Reaction score
32
Huyu dada sina hata urafiki nae wala sijawai kumtongoza lakini!!!kila mwanaume anaemtongoza anamwambia yupo na Pedra buyer ndio mpenzi wake hivyo hana sababu ya kuwa na mwanaume mwingine hadi kwa wanawake wenzake anawaambia yupo na mimi.Nauliza ndo kupendwa huko au ni sababu zake za kuzugia asisumbuliwe.Wazoefu nipeni idea.
 
Pedra buyer

Ebu fanya ukweli maana labda anakuona ww boya ata akifanya hayo anajua huna effect ebu changamkia fursa
 
Last edited by a moderator:
Ngoja waje. Hivi kidato cha tano na sita si mmeshafungua shule?????
 
nipe namba yake nihakikishe kweli mpenzi wake pedra buyer
 
akizingua nifanye nini mkuu

Mpotezee tuuu bora na heshima iwepo maana hawa viumbe wa ajabu sana hawaeleweki cha maana piga sound akikibali tafuta mazingira kula nyuchi maisha yasonge akizingua temana naye ili mradi maisha yasonge na mazoea yafe
 
Got racks on racks on racks....?

 
Last edited by a moderator:
Aisee.ww utakuwa nj mshika pembe ucjali kuwa na moyo huo huo
 

Hahahah inaonekana wewe ndio mpole wa mtaa au 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…