Shukuru
JF-Expert Member
- Sep 3, 2007
- 748
- 15
- Thread starter
- #21
Aisee Kaka Lazydogy!!, ukweli ni kuwa aliniambia yeye mwenyewe kuwa alikuwa ameanza uhusiano na jamaa mmoja, ila ndio hivyo tena kilichofuata hapo ni kunilalamikia kuwa huyo jamaa ni mkorofi na si mtu muelewa, na anajuta kukumkubali ila ni kwa sababu alikuwa mpweke; sasa sijui ni lugha au ni vipi,
ila Kaka sikufichi ni kweli kuwa kuwa kuna mabinti kadhaa (3girls) nilikuwa najaribu kuwafuatilia ila kitu pekee ambacho sikielwi ni kuwa nimkuwa mwepesi sana wa kuamini kuwa sitaweza kumpata hata mmoja wao, na nabaki kuwa na namba za simu za watu kisha woote nawaona kama either sitafanikiwa au naona kama nakuwa kikwazo kwenye maisha yao na hatimaye naachana nao, na balaa ndio hilo muda woote mawazo kwa my ex.
Yaani ndio nimemaliza chuo mwaka jana, na nimeanza kiajira miezi sita sasa najiona niko bize na sipati muda hata wa kuonana na hawa mabinti, na ikitokea bahati nimeonana na japo mmoja kabla hata sijamsalimia nahisi sitawezana naye na nikifanikiwa kumsalimia naona kama ana weakness fulani hivi, hivi, hivi nina nini?
Au njiingize kibubusa bubusa tu?