Eti hii ni kwa nini?

Uliyemuacha ulikuwa bado unampenda,Bora tofauti zenu ziwe pembeni umrejee la sivyo unaweza kuwa na fikra kuwa umerogwa kumbe hakuna.
 
Sasa wanataka kila mtu awe kama wao... Jamani whats wrong with 18? !

Are you a parent ... what age would you feel comfortable you as a parent to see your child in relationship akiwa your daughter ... just be frank ... 18 aje na mwanaume nyumbani ... eeeh Masaja please
 
Naam, kwa umri wake (miaka 18) sikushauri kujipa "pingu ya maisha".

ndugu yangu, heartbreakers ndizo zitazokujenga uwe stronger katika maamuzi yako siku za usoni. Maamuzi magumu kama kuachana na mpenzi uliyempenda lakini hakufai kwa tabia zake ni mojawapo ya maamuzi magumu lakini yana faida kwako.

Shukuru..you got to really count your blessings..
run for your dear life...maana hata kuna usemi wa wazungu unasema....
there are 3 categories of men that some women keep..a tiger in bed..a Jaguar in the garage..and a jackass to pay for them all!!!..Sasa wewe upo kundi gani hapo???? Hapo mapenzi ya kweli yapo?? its all about you and your decision..
 
Dada/mama/kaka mimi naitwa MASANJA siitwi Masaja! Hope sitashikiwa bango eti jina la Masanja ni haki mmiliki ya Ze Commedy maana mambo yanabadilika.... Tafadhali! (joke)

Well to me 18 ni umri proper mtoto unamchukua unamtunza mwenyewe...kama ni shule anasoma taratibu bila wasi wasi, unamuendeleza kama hakusoma (sasa kweli wewe unategemea mwanaume amlipie karo wakati binti akiwa bado kwao?)...lakini 18 kama mmependana haina taabu. Kama binti yuko shule, certainly huwezi kumkatiza eti aolewe. NO! 18 ni proper kama binti kamaliza shule, sasa viwango vya elimu ni tofauti...mimi personally msichana wa form four au form six au diploma ndo naona ni mke maridadi..wengine hao wenye masters au PhD ni pressure ndani ya nyumba..heri uwe na kipato kidogo uishi kwa amani kuliko hizi pressure za akina career women!..
 
Pole Museee .. ni kusakubwa sana kukosea jina la mtu .. anyway nilikuwa na usongo na jazba ... ndo maana

anyway hapa tutakesha, at that age unafanya engagement unamvisha pete ya uchumba halafu without interference unamwacha kwa wazee anasoma kama utachangia fine kwani utakuwa unamwendeleza mchumba / mke.

Ukumchukuwa jumla jumla ni mateso, asome, awaze ya mume, awaze kazi ya ...... kunawengine wanakesha au wanataka asubuhi ataweza kweli kuwahi pia darasani ... remember mshika mawili mmoja humponyoka ... na awe na bahati hiyo yakupata mume wa kumuendeleza!

Otherwise kama hasomi then fine ila usije ukamrudisha nyumbani kwao ... eti ana mambo ya kitoto ... utakuwa unamuonea
 
Naam, kwa umri wake (miaka 18) sikushauri kujipa "pingu ya maisha".

ndugu yangu, heartbreakers ndizo zitazokujenga uwe stronger katika maamuzi yako siku za usoni. Maamuzi magumu kama kuachana na mpenzi uliyempenda lakini hakufai kwa tabia zake ni mojawapo ya maamuzi magumu lakini yana faida kwako.

Shukuru..you got to really count your blessings..
run for your dear life...maana hata kuna usemi wa wazungu unasema....
there are 3 categories of men that some women keep..a tiger in bed..a Jaguar in the garage..and a jackass to pay for them all!!!..Sasa wewe upo kundi gani hapo???? Hapo mapenzi ya kweli yapo?? its all about you and your decision..

Thank you womenofsubstanc!

.
 
Pole Museee .. ni kusakubwa sana kukosea jina la mtu .. anyway nilikuwa na usongo na jazba ... ndo maana

anyway hapa tutakesha, at that age unafanya engagement unamvisha pete ya uchumba halafu without interference unamwacha kwa wazee anasoma kama utachangia fine kwani utakuwa unamwendeleza mchumba / mke.

Ukumchukuwa jumla jumla ni mateso, asome, awaze ya mume, awaze kazi ya ...... kunawengine wanakesha au wanataka asubuhi ataweza kweli kuwahi pia darasani ... remember mshika mawili mmoja humponyoka ... na awe na bahati hiyo yakupata mume wa kumuendeleza!

Otherwise kama hasomi then fine ila usije ukamrudisha nyumbani kwao ... eti ana mambo ya kitoto ... utakuwa unamuonea

My dear are you real? dunia ya leo? ununue mzigo harafu uuache kwa mwenye mali? Mbona hakawii kukugeuka?...acha kabisa kitu kama umependa ni kubeba jumla jumla.....

Swala la kumuendeleza halina noma ni sisi kukubaliana tuu..wengine hawataki...wanataka walee watoto wakati baba anatafuta mkate..(itategemea kama mkate hautoshi mtashauriana).....

Anyway, reality ni kwamba maisha ya siku hizi yanabadilika sana...akina career women ..wamekuwa na msimamo sana...Ohh I want my job, kama vipi poa.......sasa kama mzee kapata uhamisho wa kwenda Kigoma..ndo usimweleze kabisa...eehh bana...eehh we live in interesting times! Hakika! Ndo maana watu tunaamua kussettle kule ambako hakuna pressure...mama ana diploma yake ya ualimu kutoka Korogwe, anadabua mzigo pale mapambano primary school....saaaafi life kama cocacola ya baridi! raha mustarehe kabisa....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom