Eti hii inawezekana?

neema pita

Member
Apr 26, 2012
30
6
Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hakuitwa kwenye interview kuna rafiki yake kamuunganishs na mwalimu wa CCP, kamwambia baada ya kuanza mafunzo atampa nafasi ila aandae laki 7 eti hii inawezekana watu wameanza mafunzo ikapatikana nafasi au anataka kumkombea hako ka laki 7 kake?
 
Kwa Tanzania inawezekana!
 
Akili ya Kuambiwa changanya na zako....Juzi si umesoma kwamba kuna mke wa kigogo wa polisi kawatapeli watu mkwanja?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom