MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Tupe basi uhondo kidogo ndugu yangu,
Hiki kizazi inawezekana kimeshatuacha mbali sana!
Kabla hatujaenda mbali jamani, what is romance? To keep it simple, mi nasema romance ni jinsi unavyotenda mbele ya mpenzi wako. It is a stupid definition, but with a lot of meaning... Unaweza kumfanyia mke/mpenzi wako mambo mengi sana kumfurahisha, lakini hata asishtuke. Wanawake wa kiafrica wanafurahishwa na wanaume wanaowahakikishia kuwa wako safe katika MAZINGIRA YA KIAFRICA
Dark City
Nafikiri kwanza tuje kwenye root ya neno romantic/ romance. Kimsingi neno hilo lilianza likimaanisha "of/relating to Rome" [Reference: History of Western Architecture]. Tukiangalia shina la neno hilo tu tayari tunakuta linajikita zaidi kwenye tamaduni za Roma kwanza, Ugiriki, Ulaya na nchi za Magharibi. Hapo neno hilo kwa kiasi kikubwa limeshawatoa watu wasio na asili au waliokuwa hawajaguswa na tamaduni za huko Roma. Kwa hiyo kutafsiri mahaba kama romance tayari ni kutuondoa kwenye tamaduni yetu :]
Jee wanaume wa kitanzania wanajua mahaba?
Kimsingi kwa watu tuliokuwa exposed na wanaume wa culture nyengine, wengi tunaweza kuona kuwa hawajui, kwani wanavyo express mahaba ni tofauti mno na wanavyo express hawa wenye asili ya Roma. Lol
That being said, wanaume wa Tanzania wanaweza kuongeza bidii kidogo kuonyesha mapenzi yao kwa vile wanawake wengi sasa wamekuwa exposed na tamaduni za nje na unaweza kukuta mwanamke hayupo satisfied. Vitu vidogo vidogo kama zawadi au maneno ya kimapenzi yangeongezwa frequency ingependeza zaidi.
Hii ni tofauti kwa mwanaume wa kibantu ambaye hakuzoea kuona maungo yake yanayoamsha ashki mapema yakiwa nje nje tu kiasi kuwa the moment anapoyaona anakuwa aroused na hivyo kumtaka avumilie ni kumwonea bure. Yeye kwa tamaduni yake ni kuwa akiliona lile nofu la juu ya goti, anahema, akiligusa ndo unammaliza kabisa huku silaha ikiwa tayari (nasikia huwa wanapata maumivu flani kama shinikizo linakuwa kubwa kwa muda mrefu bila kupozwa - mi sijui bana). Na isitoshe wabantu (wadada tumejaaliwa ile rangi na mvuto wa yale maeneo ya sitiri kulinganisha na wenzetu wazungi ) Sasa unapoanza kumtaka mkaka wa kibantu achukue muda mrefu kukuandaa wewe mdada wa kibantu wakati ulishamuarouse ni kumwonea.
Jamani muwe na usiku mwema, mie ni Mtanzania halisi, kukosa umeme ndio kitambulisho changu.
mfano tuongeze bidii kwenye nini?
Kwa neno la kiswahili sanifu niseme ....muongeze 'hashuo'. Yaani muonyeshe yale mapenzi. Mie ninahisi mwanamme wa Kitanzania akishakuambia anakupenda anataka uridhike kuwa anakupenda bila ya kuonyesha kwa mbwembwe nyingi kama wenzetu wa Roma.
Hebu ongeeni vile vitu vinavyowa attract kwa wanawake zenu hata mkiwa nje ya tendo la ndoa. Kuna mwengine wife ana macho mazuri lakini hamsifu mpaka wawe kunako shughuli. Wanawake wanapenda kusifiwa hasa na wale wanaowapenda. Wewe mwaga misifa tu ila usizidishe chumvi sana. ...:]
Pili zawadi ndogo ndogo hata Big G muhimu, mwanamke anaona aaah kanifikiria alipokuwa huko nje sikutoka mawazoni mwake moja kwa moja. Tuji express feelings zetu zaidi. Manake unakuta mwanamme kuna kitu kimremind wife yupo job, lakini wala hawezi kumuandikia hata msg kumwambia wakati wenzetu wenye asili ya Roma aaah wanajiachia tu.
tunafanya mpaka wanaboreka mbona...
unampigia mtu simu,unamwambia tazama channel 5 kuna dushelele...lol
Mwahahaha ....huyo naamini halalami kuwa hamjui mahaba :]
Ongeza na zawadi tu ndogo ndogo sio blackberry lakini 😛
ha haaa gee lol
i miss those days when blackberry and apple were just fruits lol
kweli kabisa, ila unakuwa unafurahi ndio akileta maua,ila akija na mchele unafurahi zaidiexactly
mwanamke wa kizungu ukinunulia ua ni jambo kubwa saana
wa kiafrica ua sio jambo kubwa,jambo kubwa pengine umnunulie nguo au gunia la mchele hivi
au utangaze ndoa kabisaa lol
kweli kabisa, ila unakuwa unafurahi ndio akileta maua,ila akija na mchele unafurahi zaidi
We unafaa, ila maua na zawadi tunapenda pia, ila sio kama hizo kuku the boss, tena hapo ndipo penyewe haswa, unanichinjia mie nanyonyoa huku wewe uko kwa pembeni, ndio tulivokuwa tunafanya kule kijijini, kuja mjini tumebadilika tunataka maua lolmimi ni mchele kigunia
na kuku wawili wazima,nakuja nao nimewapakata kulia na kushoto huku wanalia lia hivi....
taratiibu najivuta kwa mamsap lol maua hata bei sijui lol
mimi ni mchele kigunia
na kuku wawili wazima,nakuja nao nimewapakata kulia na kushoto huku wanalia lia hivi....
taratiibu najivuta kwa mamsap lol maua hata bei sijui lol
Tatizo ukilinganisha sana ndio unajikuta unaona nani ni best, mie pia
kuna mambo naona kabisa watu ni ya kuiga sana kama hilo la
kupiga magoti na kuomba mkono wa ndoa, ile ni mila yao, wanafata
na sie bila hata kuuliza ina maana gani utakuta jibaba la kibongo
eti nae anaiga hiyo, mie kwanza ukipiga tu goti natoka mbio, nitaona
aibu hata sielewi
Wanaume wetu wa kibongo wanajua sana mapenzi in their own way
kazi kwao wanaolinganisha na kina tom cruise
Mzee DC, nitajaribu kukumbuka lakini point kubwa iliyokuwa inazungumziwa kule ni kuwa romantic kwa maana ya kuwa katika kujiandaa kwa tendo wanaume wa kibantu wao hawachukui muda mrefu kumuandaa mpenzi wake kabla ya business..............point moja ambayo aliitoa kaka mmoja alisema hii yote inategemea tunavyoidefine ile kuandaa na ingredients tunazoweka ili mtu aandaliwe. Aliuliza kina dada mnataka mfanyiwe nini ili muandaliwe vya kutosha,, ichukue muda gani ili mjione kuwa muda muafaka umetumika kwa ajili ya kuandalia. Alisema tusiige vya wazungu ambao wao wanahitaji kuandaa toka asubuhi kwa kuwa wao hawana jinsi kutokana na mila na desturi au utamaduni wao. Alieleza mf. kwa mwanaume wa kizungu ambaye kwa culture yao wanawake wao ni kawaida kuvaa nusu uchi huku maungio yale ya kutamanisha yamezoeleka machoni kwa mwanaume, ni lazima extra nguvu na time itumike ili kumuandaa mdada (hii inajumlisha kuandaana toka asubuhi, kikiss kwa muda mrefu tena kila pahali ili mradi tu hisia zivutike na mazingira yaruhusu.
Hii ni tofauti kwa mwanaume wa kibantu ambaye hakuzoea kuona maungo yake yanayoamsha ashki mapema yakiwa nje nje tu kiasi kuwa the moment anapoyaona anakuwa aroused na hivyo kumtaka avumilie ni kumwonea bure. Yeye kwa tamaduni yake ni kuwa akiliona lile nofu la juu ya goti, anahema, akiligusa ndo unammaliza kabisa huku silaha ikiwa tayari (nasikia huwa wanapata maumivu flani kama shinikizo linakuwa kubwa kwa muda mrefu bila kupozwa - mi sijui bana). Na isitoshe wabantu (wadada tumejaaliwa ile rangi na mvuto wa yale maeneo ya sitiri kulinganisha na wenzetu wazungi ) Sasa unapoanza kumtaka mkaka wa kibantu achukue muda mrefu kukuandaa wewe mdada wa kibantu wakati ulishamuarouse ni kumwonea.
KwWenye mengine ya kawaida mfano kununua maua, kununua card alichosema ni kuwa si sehemu ya tamaduni zetu
Jamani muwe na usiku mwema, mie ni Mtanzania halisi, kukosa umeme ndio kitambulisho changu.
The Boss
nafikiri at the end of the day inategemea huyo mwanamke unayem-date au kuishi naye
kwa wanawake wenye uwezo wa pesa au mko nje ya nchi, ukinijia na kuku au mchele nakutimulia mbalini. aggggrrrrr .............
mwanamke anaeweza kujikimu kimaisha hahitaji zawadi za aina hiyo, anahitaji zawadi 'sentimental things' zaidi. A diamond ring, a mini cooper or chocolates and perfumes will do, thank you very much :]