Madaraka Amani
Member
- Mar 9, 2011
- 89
- 17
Usukumani.Inakera sana watu wanaojidai na kujiita waswahili wanaposhindwa kuandika kiswahili na wanachafuwa mazingira wanapoongea"ga". Sijui hizi "ga" "ga" zimetokea"ga" wapi?
Kwani kiswahili wakifahamu?Moja ya mambo yatayochelewesha ukuaji wa kiswahili ndio hili la kujifanya "polisi". Kiingereza kimekuwa na kuwa na msamiati unaojitosheleza ni pamoja na kuondoa "polisi" wanaotafuta "most correct -- grammatical, semantical, word formation etc. English, na kwa hilo imekuwa ya kimataifa zaidi.
Pia ili neno litumike inategemea makubaliano baina ya watumizi wa lugha hiyo.
Hakuna kiSwahili kilichokuwa sahihi zaidi.
Mi naona sawa tu..as long as ujumbe umefika,Kweli kabisa. Hakunaga ndio kiswahili gani sasa. Haya mwingine anaongea na riz1.
Moja ya mambo yatayochelewesha ukuaji wa kiswahili ndio hili la kujifanya "polisi". Kiingereza kimekuwa na kuwa na msamiati unaojitosheleza ni pamoja na kuondoa "polisi" wanaotafuta "most correct -- grammatical, semantical, word formation etc. English, na kwa hilo imekuwa ya kimataifa zaidi.
Pia ili neno litumike inategemea makubaliano baina ya watumizi wa lugha hiyo.
Hakuna kiSwahili kilichokuwa sahihi zaidi.
Hakuna uiongezee "ga" inaongeza au ku[unguza nini zaidi ya kuchefuwa lugha? Unanshangaza"ga".
nyimbo itachangia......... au wimbo utachangia...............!??, kazi kwelikwelihii nyimbo itachangia mno kuharibu kiswahili.....
sio kiswahili fasaha kusema hakunaga.....
shigideee!!!dah dushelele...
apo sasa!! mbona sisi huku iringa na mwanza twatumia tu jamani! wakitumia ''GA'' wabaya ila wakiimba matusi ndo poa eeh!watu gani watahalibika?au hakunaga ina haribu vipi hiyo lugha?tuseme huo wimbo unaweza ukakubadilisha ukaanza kuongeza ga mwisho wa neno?tuache watu watumie ubunifu kutoka kuliko kutumia lugha za matusi
makofi tafadhali!!!!!!!!Hakunaga ni neno sahihi tu la kiswahili na maana yake ni ''hakuna kitu kama hiki'' mfano ''hakunaga Rais mzuri kama Kikwete''