Eti ghetto kwako umeweka sheria gani kwa wageni wako?

Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,558
16,658
Katika miezi hii na tunakoelekea naona , minyuzi ya wagombea na wagombaniwa imeshika hatamu kila pembe ni uchaguzi na wachaguliwa ila sio dhambi tukijipa break kidogo.

Maisha yana mambo mengi sana ya kuyajadili.

Leo naomba tujadilia hili hasa kwa wale waliopanga kama mimi.

Eti ghetto kwako umeweka sheria gani kwa wageni na washkaji zako?
 
Ukiingia geto kwangu kwa ME unapewa kiti na maji ya kisima kwa KE unakaa kitandani na soda anajichagulia toka kwenye fridge
 
Back
Top Bottom