nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 648
Najiuliza sana hii sheria mbovu iliyopitishwa inayotaka mstaafu asilipwe kiinua mgongo chote kwa mkupuo, hivi hawa tunaowaita ni wapinzani watutetee walikua na mchango gani ktk hili?
Bora tungesikia wakiipinga kwa nguvu zote ila sijaskia mchango wao ndio maana nasemaga muda mwingine kupiga kura ni kupoteza mda.
Kwanini HII SHERIA HAIWAHUSU WANASIASA AU WABUNGE AU WATEULE MBALIMBALI WA RAISI?
Alafu eti raisi hamwogopi MUNGU anajiita rais wa wanyonge, huu ni unafiki wa hali ya juu ila yote yana mwisho.
HAKUNA WATAWALA WALIOKUA WANANYANYASA WANANCHI KWA SHERIA KANDAMIZI KAMA NCHI ZA KIARABU KASKAZINI MWA AFRIKA, LEO HII WAKO WAPI?