assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Kama kuna kipindi upinzani utapata pigo kubwa ni kama watampendekeza yoyote kati ya hawa;
Mh. Mbatia:
Alishindwa ubunge jimbo la Kawe tena mwanamke ni vp mjini wamkatae alafu vijijini wamkubali is a day dream, Mwenyekiti wa chama kuaminiwa na CCM it raises doubt, tetesi za kushiriki vikao vya kumsimika Lowassa magogoni nani atamuamiini?
Mhe. Profesa Lipumba:
Katika watu waliochoka kisiasa huyu mtu ni namba moja, libidi Prof Safari kuondoka kwenye chama
chama kinaongozwa toka Zanzibar hii ni aibu.
Kugombea mara kibao na kupata 2% ni dalili za mgonjwa wa siasa au Ebola ya siasa
Dk. Slaa:
Kwa jinsi alivo na mapungufu mengi sitamzungumzia kupoteza wakati wangu, Yaani mmojawapo akipitishwa CCM waweke jiwe jiwe litashinda.