assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #21
ukawa =0
huyo st kayumba
Kama kuna kipindi upinzani utapata pigo kubwa ni kama watampendekeza yoyote kati ya hawa;
Mh. Mbatia:
Alishindwa ubunge jimbo la Kawe tena mwanamke ni vp mjini wamkatae alafu vijijini wamkubali is a day dream, Mwenyekiti wa chama kuaminiwa na CCM it raises doubt, tetesi za kushiriki vikao vya kumsimika Lowassa magogoni nani atamuamiini?
Mhe. Profesa Lipumba:
Katika watu waliochoka kisiasa huyu mtu ni namba moja, libidi Prof Safari kuondoka kwenye chama
chama kinaongozwa toka Zanzibar hii ni aibu.
Kugombea mara kibao na kupata 2% ni dalili za mgonjwa wa siasa au Ebola ya siasa
Dk. Slaa:
Kwa jinsi alivo na mapungufu mengi sitamzungumzia kupoteza wakati wangu, Yaani mmojawapo akipitishwa CCM waweke jiwe jiwe litashinda.
we ubongo wako nahisi kuna jongoo ndani anatembea, siyo bure
ukifanya mapitio ya thread zako kwa siku za karibuni utagundua hofu imekuiingia ndo hivyo tena.Kama kuna kipindi upinzani utapata pigo kubwa ni kama watampendekeza yoyote kati ya hawa;
Mh. Mbatia:
Alishindwa ubunge jimbo la Kawe tena mwanamke ni vp mjini wamkatae alafu vijijini wamkubali is a day dream, Mwenyekiti wa chama kuaminiwa na CCM it raises doubt, tetesi za kushiriki vikao vya kumsimika Lowassa magogoni nani atamuamiini?
Mhe. Profesa Lipumba:
Katika watu waliochoka kisiasa huyu mtu ni namba moja, libidi Prof Safari kuondoka kwenye chama
chama kinaongozwa toka Zanzibar hii ni aibu.
Kugombea mara kibao na kupata 2% ni dalili za mgonjwa wa siasa au Ebola ya siasa
Dk. Slaa:
Kwa jinsi alivo na mapungufu mengi sitamzungumzia kupoteza wakati wangu, Yaani mmojawapo akipitishwa CCM waweke jiwe jiwe litashinda.
ukifanya mapitio ya thread zako kwa siku za karibuni utagundua hofu imekuiingia ndo hivyo tena.
Kama kuna kipindi upinzani utapata pigo kubwa ni kama watampendekeza yoyote kati ya hawa;
Mh. Mbatia:
Alishindwa ubunge jimbo la Kawe tena mwanamke ni vp mjini wamkatae alafu vijijini wamkubali is a day dream, Mwenyekiti wa chama kuaminiwa na CCM it raises doubt, tetesi za kushiriki vikao vya kumsimika Lowassa magogoni nani atamuamiini?
Mhe. Profesa Lipumba:
Katika watu waliochoka kisiasa huyu mtu ni namba moja, libidi Prof Safari kuondoka kwenye chama
chama kinaongozwa toka Zanzibar hii ni aibu.
Kugombea mara kibao na kupata 2% ni dalili za mgonjwa wa siasa au Ebola ya siasa
Dk. Slaa:
Kwa jinsi alivo na mapungufu mengi sitamzungumzia kupoteza wakati wangu, Yaani mmojawapo akipitishwa CCM waweke jiwe jiwe litashinda.
Hii ni aibu kwa mfumo wa elimu wa Tanzania...huwezi kujenga hoja, hata kuandika basi? Na nakisia wewe ni graduate...what a shame!
mkuu hujielewi