Je, Dr Slaa ni mwanasiasa mahiri kuliko Prof Lipumba?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Najaribu tu kujiuliza yule Prof nguli wa uchumi kitaifa na kimataifa tuliyeaminishwa na wanangangari kuwa dunia nzima inamtegemea, amepotelea wapi? Ninajua kimikakati na ubunifu Dr Slaa yuko vizuri kuliko Prof Lipumba ndio maana hata UKAWA original ilimtaka Slaa agombee urais na Lipumba agombee ubunge. Lakini katika siasa za leo umaarufu wa mwanasiasa unapimwa kwa jinsi anavyoheshimiwa na CCM, kama tulivyoona kiongozi mkuu wa upinzani Edward Lowassa alipokutana na Mwenyekiti wa CCM umaarufu wake ulipanda, nk....nk. Kwahiyo bado najiuliza kati ya Dr Slaa na Prof Lipumba nani ni maarufu kwa mtazamo ule ule wanavyoheshimika mbele ya wanachama wa CCM na hata wale wa upinzani! Ahsante!
 
Slaa ni bora mara mia ukiwachanganya Magu na Lipumba kwa pamoja.
 
Alikuwa KATIBU Wa ukweli atakayekumbukwa milele kwa msimamo thabiti usioyumba..!Nafasi Yake haijawahi kuzibwa mpaka leo!Yule aliepo sasa kavaa viatu oversize..!
 
kimatokeo wote ni ovyo tu hamna kitu....walikimbia kipindi nchi inawahitaji sana..ingekua ni jeshi walistahili kufa
 
slaa atabaki kuwa shujaa jasiri kwakile anachokisimamia.amesema siasa ni sayansi siasa si uwongo uwongo na utapeli nadhani hapo umemwelewa
 
Back
Top Bottom