Eti Chama Tawala,"Hapana"Ni Chama Kinachoongoza

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Watu wanaona raha gani kutumia kiswahili kibovu namna hii?Eti chama tawala.Kwanini wasiseme tu chama kinachoongoza?Kuna dhana flani ya kutishana na kukatisha wananchi tamaa kisaikolojia.CCM haitawali.Inaongoza,

Unaposema kutawala,Ni ka ishara ka ubabe na kung'ang'ania kitu.Tuanzeni kampeni ya kuufundisha umma kuwa CCM wanaongoza na hawatawali.Kutawaliwa tulitawaliwa kabla ya uhuru.
 
Mkuu wako serious ni chama tawala kwa sababu si chama cha siasa bali ni chama cha dola
 
Back
Top Bottom