Eti CHADEMA iko kaskazini tu? Ona mambo!

KASI YA MABADILIKO NCHINI NA DHARAU ZILIZOWAPONZA MAFISADI HUKO CCM:

Tulipoanza walitubeza (vyama vya uchaguzi / msimu) na sasa wanapozama wanatukaba (mauaji ya kutishia umma)!!

Ukombo mbeeeeeeeeeeeele kama tai; ewe mama ewe baba nawe kijana hapo,
Vua gamba leo hii hii na uvae gwanda la ukombozi ili taifa letu lipate tena hueni kuondokana na MAFISADI WA huko ndani ya CCM.
 
Kuna gamba moja liliwahi kusema eti vyama vya upinzani ni vyama vya msimu vinatokea wakati wa uchaguzi tu,haya sasa semeni lingine labda kama uko makambako kuna uchaguzi ambao magamba hawashiriki.chadema ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo.peoplezzzz.......
 
du inaleta raha sana kuona jinsi watanzania walivyoamka na wanavyotaka mabadiliko...
rai yangu kwa viongozi wa Chadema ifikapo muda wa kulifanyia marekebisho daftari la wapiga kura, waongeze opersheni kali zaidi ili kuhamasisha wanachi wajiandikishe katika daftari la kudumu la wapiga kura...
 
naona watoto badala ya kwenda shule wanaingiziwa pumba kichwani

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Mfano ni wewe kunguru mwehu si?.Amaaa kwel wewe ni mwehu si?.Watu wanaelimishwa wewe unasema wanajazwa pumba!Wewe ndo umeandika pumba wao wana gain punje.Kalale gamba wee!
 
Jamani haya mswali mbona kila siku yana jirudia??Mbona CCM ilianzia Tabora mbona hilo hamsemi??the long we go itafika kusini na mashariki,na magharibi!!Ila ushauri wangu Mods wawe wanawekea button kama thread imejirudia watu wapress button ikifikia zaidi ya watu 20 ifutike automatically!

Ha! Unasemaje hapo kwenye red? Rejao, Ritz, et. al. hawashindwi ku-create IDs tofauti tofauti zaidi ya 100 kila mmoja. Kumbuka hii (kuwa humu JF) ndiyo kazi inayowapa mkate. Ukitaka thread zote zipotee humu ndani, Mods wa-implement ushauri wako.
Unless hilo neno "watu" lina maana tofauti.
 
Jamani haya mswali mbona kila siku yana jirudia??Mbona CCM ilianzia Tabora mbona hilo hamsemi??the long we go itafika kusini na mashariki,na magharibi!!Ila ushauri wangu Mods wawe wanawekea button kama thread imejirudia watu wapress button ikifikia zaidi ya watu 20 ifutike automatically!
Hizi picha ni za mwaka 2010 acheni kudanganya
 
kamandamakini na Mwakalinga,
Kuna mdau mmoja wa JF alisema kwamba 'Ukiona umemshika Kibaka Shingo alafu unaskia analialia mara Oooh mbona hunishiki na kiuno basi ujue loba imekubali, endelea kumshikilia. Lakini ukimshika mkono ukaona yupo kimya basi ujue umeliwa. Any time anaweza akakuponyoka. Sasa wenzetu hawa Magamba tumewashika Shingo wanaanza kulialia Ooh mbona hamuendi Zanzibar? Wajinga kabisa.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX PM JF.

avetar yako inadhalilisha!!!!!
 
Kunguru mwehu si = na yule chizi malaria sugu, vua gamba uvae Gwanda wewe acha unazi wa kijinga wa kupenda CCM na YANGA, ndo maana Simba akawatia 5 nunge na CDM akawalamba makada.
 
Japo mabadiliko ya kuikomboa nchi hii yalianza rasmi na ule umwagaji damu kule A-Town lakini hivi sasa Tsunami ya kisiasa yaja kutoka kanda ya Ziwa (Bukoba, Mwanza, Mara na Shinyanga) ...

... na hivyo kuja kukutana na ule mkondo wa Kanda ya Juu Kusini (Njombe, Mbeya, Iringa, Songea) na siku zitakapokutania pale katika Jiji la Idodomya basi hapo hapo ndipo CCM pamoja na MAFISADI wooote watakapoDIDIMIA kimoja na kusahaulika na historia hata kabla ya 2015.

Habari ndio hiyo wanabodi kwa wale waliodhania kwamba kimbunga CHADEMA ni kule kaskazini tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom