Eti angejiitaje??

Wamekujibu[emoji115][emoji115]
 
Hahahaha
 
Mods hawawezi kukuchagulia avatar nyingine we tamka tu jamani
 
Hahahahahahhaa Don umenifanya niachie tabasamu matata mbele za watu looh, asante kwa hilo.

Poa umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo walilinganisha wanamziki wawili na kuuliza swali kati ya Banana Zoro na Mr. Blue. Yaani Banana Zoro alifungua band na kuiita Banana Band, swali.... Je, Mr. Blue akifungua Band, hiyo band itaitwaje?

Jibu: ...................
Hahahahahahahahahahaaaa

Ila nnavopenda matusi acha nikujibu tuu donlucchese

Angeitwa kuuma boy ondoa u moja kwenye neno.
 

Kasiba boy.

*** you.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…