Eti Anataka Kuacha Muziki Aisee

Eti Anataka Kuacha Muziki Aisee

Tujifunze maishani ukiwa juu usidharau wasionacho maana huijui kesho yako.

(Sina maana kuwa Ferooz alidharau, no. Hapa nasemea tu kiujumla)
Najua unazungumzia Dangotee Industries co.ltd,time will tell....only 10 years remained
 
Wale jamaa kuna muda wanakuwa wanakuchora tu. Ila wengi wao wanakuwa hawaelewi hiyo kitu mkuu.
Yani hata ingekuwa me siend kwenye interview(ndio mnavoita) maana naona wanauliza maswali ya kinafki tu
 
Huyu jamaa aliendekeza starehe na kununua "liabilities" badala ya "income generating assets" kipindi yupo juu. Sasa hivi ni mateso kwenda mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom