KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
- Thread starter
- #21
Huwa wkt wakiwa peak.. wanasahau kuwekeza kwenye maisha yao. Wanawekeza kwenye madem na starehe na umaarufu.
Nyota zikishafifia ndio hivyo basi wanarudi kule kule na kuanza kulalama.
Ila ile kitu ni tatizo kubwa sana kwa walio wengi mkuu.
Hatari Sana.
Msanii wangu wa kwanza na mwisho kununua Album yake alikuwa huyu jamaa hapa Bongo.
Hongera kwa kumsapoti kijana ila kwa bahati mbaya hela yenyewe imetumika sivyo kabisa. Loh.