Hawa jamaa walisha chezea maisha
Ferooz amejarib kila aina ya mziki hadi mnanda lakin kashindwa kurudi
Bahati haini marambili
Huwa wkt wakiwa peak.. wanasahau kuwekeza kwenye maisha yao. Wanawekeza kwenye madem na starehe na umaarufu.Hawa jamaa walisha chezea maisha
Ferooz amejarib kila aina ya mziki hadi mnanda lakin kashindwa kurudi
Bahati haini marambili
Msanii wangu wa kwanza na mwisho kununua Album yake alikuwa huyu jamaa hapa Bongo.Hawa jamaa walisha chezea maisha
Ferooz amejarib kila aina ya mziki hadi mnanda lakin kashindwa kurudi
Bahati haini marambili
Litakuwa lilimfiaHaya maisha haya, acha tu mkuu.
Hivi lile jeep alilopewa na Mh. Rais Mkapa sjui liko wapi aisee.
Hatari Sana mkuu.
EeehHuwa wkt wakiwa peak.. wanasahau kuwekeza kwenye maisha yao. Wanawekeza kwenye madem na starehe na umaarufu.
Nyota zikishafifia ndio hivyo basi wanarudi kule kule na kuanza kulalama.
Ilikuwa albam nzuri yooote halaf maskiniMsanii wangu wa kwanza na mwisho kununua Album yake alikuwa huyu jamaa hapa Bongo.
Bas ndio hivoIlikuwa alabam nzuri yooote halaf maskini
Fainali uzeeni atajikuta anaingia 40 hajui afanye nnBas ndio hivo
Itabidi na sisi tukipata vijisenti tuwe makinii na tukumbuke madhira yanayowakumba hawa jamaa.Fainali uzeeni atajikuta anaingia 40 hajui afanye nn
Yapaswa watafute namna wapambane na hali yao
Yes uko sawaItabidi na sisi tukipata vijisenti tuwe makinii na tukumbuke madhira yanayowakumba hawa jamaa.
Huwa wkt wakiwa peak.. wanasahau kuwekeza kwenye maisha yao. Wanawekeza kwenye madem na starehe na umaarufu.
Nyota zikishafifia ndio hivyo basi wanarudi kule kule na kuanza kulalama.
Jamaa ana Giza, hana Nuru kabisa