mhh pale wanapokea wanafunzi wenye kuanzia ufaulu wa D 3 na kuendelea kwa level ya diplomaCBE chuo cha waliopata 4,5,0 karibia wote, msibishe nina ushahidi wa mtu aliyepata 0.
Hizo D 5 za kuingilia bachelor ni za kutoka ngazi ipi? Maana A-level masomo ni matatu. Sasa D5 inakuwaje?mhh pale wanapokea wanafunzi wenye kuanzia ufaulu wa D 3 na kuendelea kwa level ya diploma
na D 5 kwa level ya bachelor.sasa wewe kusema zero ameingia chuo pale utakua umekosea sana
tuonyeshe ushahidi huo kama hutajali
acha upuuzi weweCBE chuo cha waliopata 4,5,0 karibia wote, msibishe nina ushahidi wa mtu aliyepata 0.
uliwahi kusoma hapo ama kinakuwasha tuCBE, magogoni, na vyuo vingine vinavyofanana na hivyo navyo ni majipu. Serikali ingevifutilia mbali ibaki VETA. Vinazalisha wajinga na wasiojielewa. Wasichana wanajifunza kujizuia kupitia hivyo vyuo....
Hata mfumo wa ufundishaji katika hivyo vyuo haujakaa sawa.
dahHizo D 5 za kuingilia bachelor ni za kutoka ngazi ipi? Maana A-level masomo ni matatu. Sasa D5 inakuwaje?
Harufu unakuta mtu wa dizaini hiyo hakijui hata chuo kilipoAiseee nilikuwa naheshimu wakongwe ila kwa mwendo huuu ngoja niende zangu kwa makapuku tyuuu.nilidhani kuishi USA mtu unakuwa na busara kumbe nilikuwa najidanganya.
OMBA RADHI KIJANA... WALIOSOMA PALE NDIO WANAUJUA MZIKI WAKE.. HAO VINUKA MKOJO WANAOKUUNGA MKONO HUMU NI WALE WAPUUZI NA MALAYA WANAOKUSHOBOKEAWengi wenu mliosoma hapo na wanaoendelea kusoma hapo ni vilaza.
Chuo cha kata yani wale waliokosa nafasi koteCBE chuo cha waliopata 4,5,0 karibia wote, msibishe nina ushahidi wa mtu aliyepata 0.
Asilimia kubwa na hivi hali imebanwa na waganga wamekuwa wakitumia fursa kuwagegeda wakiwadaganywa ili wampumbaze mwanaume mganga apake dawa kwenye gegedoTeh Teh muone haraka mashana jr akupe dawa kabla ujarogwa...!
Kusema ukweli wasichana walio wengi wanategenea sana ushirikina kwenye mahusiano..
Kweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.
Na kupata mwenza mwenye akili ya kutosha (kwani si lazima upate mwenye akili kubwa) ni kazi sana.
Kwa mfano, hivi videmu vya CBE bana vina mashauzi sana. Nadhani vipo hapo CBE kwa sababu kiakili havina uwezo wa kumudu sehemu kama UDSM au SAUT. Hivi hapo CBE ni dampo la waliopata divisheni 4 na 5? Manake vidada vya hapo kwa kujifanya vya viwango tu havijambo.
Kiingereza havijui lakini vinapenda kujifanya vinajua. Sijui nani kavidanganya kuwa ukiongea Kiswahili na kuchomekea chomekea Kiingereza chako cha kuunga unga ndo utaonekana wa kileo, kwamba unaenda na wakati....umestaarabika.
Vingine kweli ni vizuri vya maumbo na sura lakini akili za darasani na hata zile za kawaida tu za kidunia havina. Mjini hapa vinaishi kwa kutegemea zaidi wanaume, tena kwa kiasi kikubwa tu.
Vichwa vyao havina kazi zaidi ya kushonea minywele bandia. Bure kabisa yaani.
Sina takwimu wala nini lakini pia sina shaka kuwa vimdada kama hivyo vinaongoza kwa mambo ya ushirikina. Kuna kimoja hicho kimediriki hadi kunitishia kuwa eti niwe mwangalifu...nitarogwa na wadada nishindwe hata kujielewa.
Kimdada kama hicho hata ukijaribu kukieleza kuwa hayo ni mambo ya usasili tu, ya kufikirika tu, ni ya kiimani tu....hakiwezi kukuelewa kwa sababu hakana ubongo wa kuweza kuchakata hoja zilizo za kinadharia zaidi.
Na ndo maana havijui hata tofauti ya kujua na kusadiki au uhalisia na imani.
Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.[/QUOT
JF inaraha sana
NaZungumZia D 5 Za form 4 ambao wamesoma diploma sasa wanaunga degree laZima wawe na hiZo D 5Hizo D 5 za kuingilia bachelor ni za kutoka ngazi ipi? Maana A-level masomo ni matatu. Sasa D5 inakuwaje?
Uko katika mchakato wakutafuta jiko nini NN?! Naona post zako zimefululiza ni wadada wa bongo tu this time. Nimewaza tu usinipe za uso hahaha!Kweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.
Na kupata mwenza mwenye akili ya kutosha (kwani si lazima upate mwenye akili kubwa) ni kazi sana.
Kwa mfano, hivi videmu vya CBE bana vina mashauzi sana. Nadhani vipo hapo CBE kwa sababu kiakili havina uwezo wa kumudu sehemu kama UDSM au SAUT. Hivi hapo CBE ni dampo la waliopata divisheni 4 na 5? Manake vidada vya hapo kwa kujifanya vya viwango tu havijambo.
Kiingereza havijui lakini vinapenda kujifanya vinajua. Sijui nani kavidanganya kuwa ukiongea Kiswahili na kuchomekea chomekea Kiingereza chako cha kuunga unga ndo utaonekana wa kileo, kwamba unaenda na wakati....umestaarabika.
Vingine kweli ni vizuri vya maumbo na sura lakini akili za darasani na hata zile za kawaida tu za kidunia havina. Mjini hapa vinaishi kwa kutegemea zaidi wanaume, tena kwa kiasi kikubwa tu.
Vichwa vyao havina kazi zaidi ya kushonea minywele bandia. Bure kabisa yaani.
Sina takwimu wala nini lakini pia sina shaka kuwa vimdada kama hivyo vinaongoza kwa mambo ya ushirikina. Kuna kimoja hicho kimediriki hadi kunitishia kuwa eti niwe mwangalifu...nitarogwa na wadada nishindwe hata kujielewa.
Kimdada kama hicho hata ukijaribu kukieleza kuwa hayo ni mambo ya usasili tu, ya kufikirika tu, ni ya kiimani tu....hakiwezi kukuelewa kwa sababu hakana ubongo wa kuweza kuchakata hoja zilizo za kinadharia zaidi.
Na ndo maana havijui hata tofauti ya kujua na kusadiki au uhalisia na imani.
Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.
Nyani Ngabu;
Na weye ulivyo na majidai yako. Ngoja siku unakutana na Mnyiramba umwagie uchaf wako uache kumlipa ndo utakuja hapa ukilia kuomba msaada.
Hulogeki weye nnani? Mnyramba anakutosha weye. Jatibu uone kwa mnyiramba wasingida. Hakikisha una mtu chumbani akumwagie maji ya kuzinduka utakapozimia. Hata miye nlikuwa gaidi ka weye lakini kwa hao nimepoa
Uko katika mchakato wakutafuta jiko nini NN?! Naona post zako zimefululiza ni wadada wa bongo tu this time. Nimewaza tu usinipe za uso hahaha!