hahahaaa ni anapenda mkuu tehe
Hivi ulikuwa wapi siku zote? Na kwanini kila posti yako lazima Mwanajamii1 anakugongea LIKE.
....'urogwe' mara ya ngapi nawe? majuzi tu ulikuwa unashereheka hapa anniversary,...kubali matokeo!
Hata simu yaongezewa "chaji" sembuse penzi?...
We si ulikimbia banaahahah haha..
nipo tyr kwa mashtaka....
gaguloo
mbona nililiweka jaman..au dg dg alikwiba?
Umeona eh? Kwa hiyo bibi kanogewa siyo? Ntamaliza wiki bila kuoga ili afurahie zaidiTamu ya chai sukari,
Babu inaelekea bibi umemlewesha raha mpaka kukusahau imekua mtihani.
Hili ndilo Neno La Mungu.Mimi sijambo rafiki. Hongera ya kumtendea mema bibi. hivi unafikiri ungekuwa dikteta kwake angekumiss???
Ahaa........afu khaa... na umri ule atamezaje mtoto? umri kwishaenda!Huwa inatokea pia kwa wamama wajawazito, kuna ambao wanapenda kula maembe, ubuyu wengine kunusa nguo za wenzi wao. Ila sidhani kama bibi yetu yuko na hali hii.
Hili ndilo neno la Lusuferi, Sheitwain.........Lishindwe na lilegeeWe jiandae tu kuwa zezeta muda si mrefu
Skulimeti bana! Hivi huwa unatumia YOLANDA?
hah dah umenkumbusha kuna baba mmoja ivi zamaaaaaaaaan .alikuwa anaitwa baba koku..ana tumbo kuuuubwa sjui kitamb aya
dah mwanaume yule alikuwa anavaa gagulo la mke wake nakwambia....akiamka asubui kupiga mswak uku kavaa taulo basi kitaulo asi knapeperuka kdg ...kikiperuka tu lazima uone kigagulo cha mke wake mwenyewe hana wasi wasi anaenadelea tu kuswaki chwaaaaaaaa chwaaaaaa...ahh ilikuwa raha kipind icho cha utoto tena wailes pale ahh yaan unafanya kumvizia yeye tu akienda kupiga mswak na weewe unatafuta wwa kwako ili upate burudan asubui ya kumuona mding katinga gagulo!!!!!!
Hivi ulikuwa wapi siku zote? Na kwanini kila posti yako lazima Mwanajamii1 anakugongea LIKE.
Nafanya utafiti nikigundua ntakuambukiza malaria.
..."nadhani" nae anaipenda harufu yangu...:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Harufu ya Mbu? Khaa!
Sijui nlikuwa wapi siku zote...........?
mi nilidhani anatumia YU....teh teh teh...
hivi kati ya YU na Yolanda yepi yana manukato makali?
We lazima nikulipizie kisasi. Huwezi nichukulia mjukuu mtiifu bila hata mahari........ afu anaipenda harufu yako!
ila ujue kuna mwanajamii1, na kuna mwanajamiiOne humu...mimi nimesema "nadhani" kwani sina uhakika ni yupi
uliyembaini...LOL!
mbu mie nanukia marashi ya karafuu,...huwezi jua!