Vijana wengi walioko chadema ni vikundi vya wahuni rejea sugu na lema.
Vijana hawa lazima wawe na akili zilizofikia mwisho, na hawa vijana haina shaka ndio wale wanaogombania ku-escort deals za kijangili na kujibabia mgongoni mwa majangili akina Kinana...Riz...na wale na hata kubebeshwa nyaara na magunia ya bangi bila kujitambua walivyokwishatumika kupitia wale wengi wanaoangamiza mali za umma huu...Vijana wa namna hii ndio wale wanaodhani kuwa 'Kingunge bado ni mkuu wa itikadi' na 'Kawawa ni kamanda wa Vijana' bila shaka hawa ndio ambao CCM inaomba, inaloga na kuzindika ili wasipate akili hata chembbe daima dumu wabakie njozini ili iendelee kuwatumia na kuvuna...na inajigamba na kuwazuga kuwa eti ni 'taifa la kesho'!CDM inalo jukumu kubwa sana la kufagia ukurutu ktk akili zao chache...! my take; CDM isipolichukulia hii kama priority, ambayo tunajua kuwa wanaiweza kwa asilimia 100, kizazi kijacho kitajikuta kikivuna mabua mbele ya ngiri wanaohema kwa tamaa na wanaohaha kujangili na kusafisha 'shamba hili mfano wa shamba la bibi'Kijana yeyote anayetaka kuendesha maisha yake kijanja janja, kitapelitapeli, kiwiziwizi na kwa lugha ya kileo tunaweza kusema "maisha ya kupiga ma-deal" ; Mfano unatumwa kuvizia wakosoaji wa CCM na serikali yao na kuwang'oa kucha, macho na kuwapa mateso makali au kununua shahada za kupigia kura au kumtukana Dr Wilbroad Slaa na uzushi mwingine........NI WAZI KUWA TUMAINI LAKE NI CCM!!.
Vijana tunaopenda haki, usawa na uwajibikaji siku zote TUMAINI LETU NI MUNGU ALIYEUMBA MBINGU na NCHI na kwa upande wa chama cha siasa hapa Tz, tumaini letu kwa sasa ni CHADEMA!!.
Mimi yule mbunge sijamuelewa baadae,akatoa ratiba ya tv zote kwenye taarifa za habari waanze na habari za rais,waziri mkuu,mawaziri n.k nikasema wameharibu tbc wanataka kuhuribu na tv binafsi.