Ethiopian Airlines yaagiza ndege 20 za aina ya Boeing

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
10703962_10154701900095533_2995481932120179716_n.png

Ethiopian Airlines has ordered 20 Boeing 737 MAX 8s aircraft estimated to cost more than $2.1 billion (Sh180 billion). The order includes options and purchase rights for a further 15 737 MAX 8s, representing the largest single Boeing order, by number of airplanes, from an African carrier.

"The order underlines our commitment to our 15-year strategic plan, ‘Vision 2025', in which Ethiopian will strive to become the leading airline group in Africa carrying 18 million passengers per annum," Ethiopian Airlines Chief Executive Tewolde Gebremariam, said. He was speaking during a visit to the Association for the Promotion of Tourism to Africa National Forum in Chicago.

"The 737 MAX will form a key component of that strategic vision, enhancing our single-aisle fleet and keeping us at the forefront of African aviation." The 737 MAX incorporates the latest technology aimed to deliver the highest efficiency, reliability and passenger comfort in the single-aisle market.

Source: Standard

Standard Digital News : : Business - Ethiopian Airlines orders 20 Boeing aircraft
 
And KQ? It seems a new budget airline is coming up considering the size of those 737 MAX!
 
ImageUploadedByJamiiForums1411899722.811382.jpg
Ndege za nini sie? Sasa hivi ndio Katibu mkuu Kinana na Nape ndio wanazunguka ( baada ya miaka 50 ya uhuru) kuwataja Mawaziri mizigo ambao bado wanasababisha kuendelea kuwa na shule kama hizo.
Labda 2015 kuwe na mabadiliko ndio tunaweza kuzungumzia suala la ATC. Lakini kwa sasa hayo madarasa aka mabanda ya nguruwe yaliyo asisiwa na ccm ndiyo hoja.
 
Good for them..nimepita uwanja wa ndege wa Addis juzi bado kuna changamoto nyingi za uwanja,vyoo vichache na vichafu,viti na maeneo yakupumzikia machache,lift nyingi hazifanyi kazi,,maeneo ya ukaguzi machache hivyo kusababisha msongamano,vifaa vya ukaguzi ni vya kizamani abiria wanalazimika kuvua hadi viatu kwa ajili ya ukaguzi,,nadhani ununuzi wa ndege hizi uende sambamba na upanuzi wa kiwanja na uboreshaji wa miundo mbinu..all in all m proud of them wanaonesha njia..!
 
And KQ? It seems a new budget airline is coming up considering the size of those 737 MAX!

Don't worry about KQ, the more they battle the better. The two Eastern Africa giants are here to stay.
 
Good for them..nimepita uwanja wa ndege wa Addis juzi bado kuna changamoto nyingi za uwanja,vyoo vichache na vichafu,viti na maeneo yakupumzikia machache,lift nyingi hazifanyi kazi,,maeneo ya ukaguzi machache hivyo kusababisha msongamano,vifaa vya ukaguzi ni vya kizamani abiria wanalazimika kuvua hadi viatu kwa ajili ya ukaguzi,,nadhani ununuzi wa ndege hizi uende sambamba na upanuzi wa kiwanja na uboreshaji wa miundo mbinu..all in all m proud of them wanaonesha njia..!

Lakini kutoa viatu mbona ni jambo la kiusalama. Kawaida hata uwanja wa Julius Nyerere huwa tunatoa viatu.
 
View attachment 188810
Ndege za nini sie? Sasa hivi ndio Katibu mkuu Kinana na Nape ndio wanazunguka ( baada ya miaka 50 ya uhuru) kuwataja Mawaziri mizigo ambao bado wanasababisha kuendelea kuwa na shule kama hizo.
Labda 2015 kuwe na mabadiliko ndio tunaweza kuzungumzia suala la ATC. Lakini kwa sasa hayo madarasa aka mabanda ya nguruwe yaliyo asisiwa na ccm ndiyo hoja.

kuna watu wanapokea posho ya laki3 kwa siku wakati tuna shule kama hizi...naipenda tz
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lakini kutoa viatu mbona ni jambo la kiusalama. Kawaida hata uwanja wa Julius Nyerere huwa tunatoa viatu.

Sijui umepita lini Julius Nyerere Mkuu ila huo utaratibu haupo tena labda kama viatu vyako vitakuwa na kitu ambacho si cha kawaida,,airports nyingi sasa hiv hawana izo mambo za kuvua viatu plus airports za kisasa hata kama umevaa saa huvuliwi Mkuu fanya uchunguzi...!
 
Sawa labda kama pamebadilika, ila nakumbuka pale JNIA hupiti kama sensor inatoa sauti kwamba una kifaa chochote chenye chuma. Mimi huwa natoa vyote hadi mkanda, pochi, sarafu na viatu.
 
Inaelekea Ethiopia ina sifa ya uchafu hasa wa vyoo...kuna dada alikuwa anaelezea mpaka niliona aibu kwa niaba maanake alikuwa anatupa details huku tuko na mdada wa Ethiopia...anaeleza miaka alikaa Adis Ababa alivyoshuhudia uchafu vyuoni hasa kwenye vyoo...sijui sababu ya shida ya maji au?

Maana huyu ni Mzimbabwe alikuwa anaponda Ethiopia...

Good for them..nimepita uwanja wa ndege wa Addis juzi bado kuna changamoto nyingi za uwanja,vyoo vichache na vichafu,viti na maeneo yakupumzikia machache,lift nyingi hazifanyi kazi,,maeneo ya ukaguzi machache hivyo kusababisha msongamano,vifaa vya ukaguzi ni vya kizamani abiria wanalazimika kuvua hadi viatu kwa ajili ya ukaguzi,,nadhani ununuzi wa ndege hizi uende sambamba na upanuzi wa kiwanja na uboreshaji wa miundo mbinu..all in all m proud of them wanaonesha njia..!
 
Sawa labda kama pamebadilika, ila nakumbuka pale JNIA hupiti kama sensor inatoa sauti kwamba una kifaa chochote chenye chuma. Mimi huwa natoa vyote hadi mkanda, pochi, sarafu na viatu.

Ni kweli kwa issue ya vitu vinavyotoa sauti,,kwa Addis yani hawajali kiatu chako kitatoa au hakitotoa sauti wote mnavua viatu kama mnaingia msikitini,,halafu unakuta foleni ya watu ni kubwa wote mvevua viatu,mabesini ya kuwekea vitu yanakuwa hayatoshi yani ni vurugu kwakweli..kwa wenzetu unapitisha kwenye mashine mabeg na poch tu vitu vya mifukoni mwako unapita navyo na mbele kunakuwa na mkaguzi akitumia mashine ya mkono kuhakiki tu baasi...! Inapunguzu msongamano na usumbufu...!
 
Sie hata tukipewa bure nani wa kuzipanda hapa naongelea ndani tu, watu bado uchumi mdogo,huko nje nako cdhan kama tunaweza competition,watu wamelima mahindi hawana pa kuyauza halaf unaongelea ndege mkuu, hapa baadae sana.
 
Inaelekea Ethiopia ina sifa ya uchafu hasa wa vyoo...kuna dada alikuwa anaelezea mpaka niliona aibu kwa niaba maanake alikuwa anatupa details huku tuko na mdada wa Ethiopia...anaeleza miaka alikaa Adis Ababa alivyoshuhudia uchafu vyuoni hasa kwenye vyoo...sijui sababu ya shida ya maji au?

Maana huyu ni Mzimbabwe alikuwa anaponda Ethiopia...
bongo kuna tatizo la uchafu pia
 
Good for them..nimepita uwanja wa ndege wa Addis juzi bado kuna changamoto nyingi za uwanja,vyoo vichache na vichafu,viti na maeneo yakupumzikia machache,lift nyingi hazifanyi kazi,,maeneo ya ukaguzi machache hivyo kusababisha msongamano,vifaa vya ukaguzi ni vya kizamani abiria wanalazimika kuvua hadi viatu kwa ajili ya ukaguzi,,nadhani ununuzi wa ndege hizi uende sambamba na upanuzi wa kiwanja na uboreshaji wa miundo mbinu..all in all m proud of them wanaonesha njia..!
Maelezo yako km unayaamini basi unayo shida sana.Kwako unaona bora kumalizia hela ktk hizo changamoto zinazotumia hela kuliko kuongeza hela.Si haba ndio maana watz mipango yao yote ni liabilities.Vipaumbele havipangwi hivyo.Unapanga kitu kinachoongeza hela na kupunguza kutumia.Ili baadae upate mfumo unaoongeza nguvu ya kiuchumi kukabiliana na matatizo.Habari za air Tz kukopa na kufufua shirika kwa kuanza na ujinga km kupaka rangi majengo kwa bei ya rushwa,kuongeza office,matangazo kabla ya ndege,na mwishowe kukodi mbovu ni kuweza lita ya mafuta na kuanza safari ya dar kigoma.
 
Inaelekea Ethiopia ina sifa ya uchafu hasa wa vyoo...kuna dada alikuwa anaelezea mpaka niliona aibu kwa niaba maanake alikuwa anatupa details huku tuko na mdada wa Ethiopia...anaeleza miaka alikaa Adis Ababa alivyoshuhudia uchafu vyuoni hasa kwenye vyoo...sijui sababu ya shida ya maji au? Maana huyu ni Mzimbabwe alikuwa anaponda Ethiopia...
Ila uchafu wa vyoo ni tabia ya Africa na Asia.Bongo kuanzia vyoo vya chuo kikuu hadi nursery ni vichafu.Na hili linaanzia ktk familia bora hadi wanaokunya vichakani.Sioni pa kujisifu hapa wakati watz wa mjini waliosoma na wasiosoma wote ni issue ktk vyoo.Hadi hospital bongo ni chafu na madkatari ndipo wanapoingia, bila kufanya lolote.
 
Inaelekea Ethiopia ina sifa ya uchafu hasa wa vyoo...kuna dada alikuwa anaelezea mpaka niliona aibu kwa niaba maanake alikuwa anatupa details huku tuko na mdada wa Ethiopia...anaeleza miaka alikaa Adis Ababa alivyoshuhudia uchafu vyuoni hasa kwenye vyoo...sijui sababu ya shida ya maji au?

Maana huyu ni Mzimbabwe alikuwa anaponda Ethiopia...

Hata Jomo Kenyetta kina vyoo vichafu sana.
 
Back
Top Bottom