Ethiopian Airlines yaagiza ndege 20 za aina ya Boeing

Maelezo yako km unayaamini basi unayo shida sana.Kwako unaona bora kumalizia hela ktk hizo changamoto zinazotumia hela kuliko kuongeza hela.Si haba ndio maana watz mipango yao yote ni liabilities.Vipaumbele havipangwi hivyo.Unapanga kitu kinachoongeza hela na kupunguza kutumia.Ili baadae upate mfumo unaoongeza nguvu ya kiuchumi kukabiliana na matatizo.Habari za air Tz kukopa na kufufua shirika kwa kuanza na ujinga km kupaka rangi majengo kwa bei ya rushwa,kuongeza office,matangazo kabla ya ndege,na mwishowe kukodi mbovu ni kuweza lita ya mafuta na kuanza safari ya dar kigoma.

Sijui kamasoma na kuelewa nilichoandika..?!! Nimesema ninaunga mkono ununuzi wa ndege ila ununuzi huu si vibaya ukienda sambamba na upanuzi wa kiwanja na kuboresha miundombinu..wewe sijui kama una taaluma ya biashara,,Ni sawa na mfanya biashara wa juice au mama lishe unaongeza idadi ya viti wakati huna eneo la kuviweka..kwa hiyo ukiongeza viti unaongeza na eneo la sivyo utakuwa hujafanya kitu..case ya Air Tz ni tifauti na ninilichoelezea..
 
Ila uchafu wa vyoo ni tabia ya Africa na Asia.Bongo kuanzia vyoo vya chuo kikuu hadi nursery ni vichafu.Na hili linaanzia ktk familia bora hadi wanaokunya vichakani.Sioni pa kujisifu hapa wakati watz wa mjini waliosoma na wasiosoma wote ni issue ktk vyoo.Hadi hospital bongo ni chafu na madkatari ndipo wanapoingia, bila kufanya lolote.

Kwa case ya airports,,vyoo vyetu ni visafi..Ukiwa unajenga hoja kwenye ishu kama hizi ni vyema ukawa na case studies za maeneo unayo yazungumzia mkuu,,mimi viwanja vyote vitatu i mean Jomo Kenyatta,J.Nyerere na Addis nimepita tena hivi majuzi,,Addis vyoo ni vichafu na vichache,Kenyatta vyoo vichache unaweza simama kwenye foleni kwa dakika kumi ukisubiri kujisaidia..!
 
Hivi majority shareholder wa Ethiopian Airlines ni nani!
 
Sijui umepita lini Julius Nyerere Mkuu ila huo utaratibu haupo tena labda kama viatu vyako vitakuwa na kitu ambacho si cha kawaida,,airports nyingi sasa hiv hawana izo mambo za kuvua viatu plus airports za kisasa hata kama umevaa saa huvuliwi Mkuu fanya uchunguzi...!

Aisee kuvua viatu kawaida,majuzi tu nilipitia instambul uturuki,kama miezi kadhaa nilipita Dubai,mbona viatu tunavua
 
Mlivua wote? Au wale ambao viatu vyenu vilikutoa mlio? Anywayz labda to some airports ila siyo zote..JNIA hakuna hiyo kitu sasahiv labda viatu vyako viwe na chuma..hata viwanja vingi vya Asia na Europe..
 
Yah ni wote wanavua unaweka viatu ,mkanda,saa,simu na vichenchi kwenye kapu vinapita kwenye mashine unaenda kusubiria upande wa pili
 
Nimekumbuka JNIA jamaa yangu alikua na open shoes ambazo hazikuwa na chochote cha chuma na alipita kama amevivaa. Kweli sio lazima utoe.
 
Yah ni wote wanavua unaweka viatu ,mkanda,saa,simu na vichenchi kwenye kapu vinapita kwenye mashine unaenda kusubiria upande wa pili

Okey inawezekana kwa baadhi ya airpirts kama nilivyofanya mimi Addis..but kwa uwanja wetu wa JNIA hakuna hiyo kitu..!
 
Kwa case ya airports,,vyoo vyetu ni visafi..Ukiwa unajenga hoja kwenye ishu kama hizi ni vyema ukawa na case studies za maeneo unayo yazungumzia mkuu,,mimi viwanja vyote vitatu i mean Jomo Kenyatta,J.Nyerere na Addis nimepita tena hivi majuzi,,Addis vyoo ni vichafu na vichache,Kenyatta vyoo vichache unaweza simama kwenye foleni kwa dakika kumi ukisubiri kujisaidia..!
km traffic ni ndogo kwanini usione vyoo vya dar ni vingi?haha huo usafi wa bongo baada ya matengenezo au sturcture mpya ni kwa muda na hakuhusiani na sisi kuwa wasafi.Tembea hospital nchini,mashule,vyuo, na hata vyoo vya manispaa nchini.hivi viwanja vinaokolewa na matengenezo na si nidhamu yetu.Tembea airport ndogo nchini.
 
"$ 2 . 1 b i l l i o n ( S h 1 8 0 b i l l i o n )"

Mh... Sio kweli hapa..Hawa Editors wa magazeti yetu bado sana..
 
Maelezo nilosikia kuhusu Ethiopia sina hamu...nadhani ni zaidi ya Bongo...

Usipende kuamini kila unachoambiwa, binafsi nilipita Addis Ababa Ethiopia, vyoo vilikuwa katika hali nzuri , labda siku wenzagu walipopita haikuwa hivo kutokana na uhaba wa maji. Ethiopia wana uwanja mzuri sana, kama ni kero mbona hata hapa bongo upo, yaan hadi Leo mtanzania unarudi nchini una passport ya Tanzania, wanachukua finger print
 
Hivi majority shareholder wa Ethiopian Airlines ni nani!

Ni Govt kama sikosei. By the way, mwaka jana ndio waliongoza kwa kiwango cha ukuaji wa uchumi Africa. Sasa hivi wana projects nyingi na kubwa za kuboresha infrastructures ambazo ziko financed na sources za ndani c kama Tz na jirani zetu ambao tunaamini kwenye kusaidiwa zaidi na ulaya, china na us.
 
km traffic ni ndogo kwanini usione vyoo vya dar ni vingi?haha huo usafi wa bongo baada ya matengenezo au sturcture mpya ni kwa muda na hakuhusiani na sisi kuwa wasafi.Tembea hospital nchini,mashule,vyuo, na hata vyoo vya manispaa nchini.hivi viwanja vinaokolewa na matengenezo na si nidhamu yetu.Tembea airport ndogo nchini.

Kuwa specific basi,,airport ipi ndogo inavyoo vichafu? Nimepita dodoma airport,mwanza airport,songwe airport,iringa airport,kigoma airport,zanzibar airport,KIA,Mpanda airport kote huku sijaona choo kichafu..ivi kukiwa na traffic kubwa ndiyo kigezo cha kuwa na vyoo vichafu? Ingekuwa hivyo viwanja kama dubai,doha au beijing visinge tamanika kwa uchafu...
 
Mkuu nakubaliana na wewe, usafi wa vyoo ni muhimu sana katika maendeleo ya taifa. Hebu soma hapa:

By SUNNY BINDRA
Posted Saturday, July 14 2012 at 18:27

I was fascinated to read this on the Harvard Business Review blog network the other day:

“Recently I asked a high-level Singapore official how Singapore’s companies would be able to compete in a world of countries whose companies have greater access to low-cost labour (as in China) and cutting-edge innovation (as in the US).

His response was to ask me: “Have you seen our toilets at Changi Airport?” I said that I had, and that they were spotless. He nodded: ‘That’s our competitive advantage’.” That was written by Vinod Aggarwal, a Berkeley professor and economist.

Now, I was in Singapore myself just last year, and can confirm that the toilets at Changi Airportare indeed spotless – they would put most of our five-star hotels here to shame.

But so what? What do clean toilets have to do with national competitiveness? They have everything to do with it.

Many years ago, when the Kenya Airports Authority was seeking my advice on matters strategic, I recall making a simple recommendation: all the fancy stuff – new terminal, runways, aprons – can come later.

The very first thing, the thing to do right now, is to provide clean toilets at all airports. That is strategic priority number one. Well, we’re still waiting for the fancy stuff at JKIA – and the clean toilets. Which speaks volumes.

Back to Singapore Airport. It is by no means the world’s largest or fanciest. In fact, it is quite humdrum in appearance compared to Dubai or Hong Kong.

​
But it is undoubtedly the most efficient airport. Getting out of a plane, through immigration, baggage retrieval and customs to the car park rarely takes more than 15 minutes. When it comes to speed, cleanliness and efficiency in most things, Singapore takes the prize.

To have clean toilets, you have to have three things: a very high standard of cleanliness that is not negotiable downwards; process integrity that allows you to keep the toilets clean, day after day; and a culture in which ordinary people feel the need for cleanliness in themselves, without reminders or enforcement from above.

Those things may sound straightforward, but they are not. They require strong leadership, intelligent process design and a nuanced understanding of human nature. Which, sadly, most organisations and nations do not have.

That is why I was so keen on Kenya working on the toilets first. If you can get those right, the chances are good you will pull off the bigger investments and facilities, and run them to a high standard.

On the other hand, if you can’t get toilets to be clean, you are very unlikely to be able to have standards, processes and cultures that allow you to do anything very well.

Hygiene is a basic human necessity. Not getting that right does not set a correct foundation. It also sends a very bad signal to a visitor, and is suggestive of further bad experiences to come.

That is why Singapore remains possibly the only country to leap from Third World to first in a single generation.

China, India and the rest have some way to go before they can feel like a first-world country to all their citizenry. And it is why in Kenya we are also marking time on the starting block.

It is not just about putting up expensive infrastructure that looks good; it is equally about setting standards of performance that have to be met; understanding that efficiency comes from repeated processes that cannot be violated; and engaging the sentiments of the populace, so that the emotional climate is also right.

As Prof Aggarwal pointed out, it is about the human software as much as the hardware. Toilets are no minor matter. If you can’t get them working to a high standard, there isn’t much else you will achieve in your home, corporation or nation.

Well said mkuu...100%
 
Kwa case ya airports,,vyoo vyetu ni visafi..Ukiwa unajenga hoja kwenye ishu kama hizi ni vyema ukawa na case studies za maeneo unayo yazungumzia mkuu,,mimi viwanja vyote vitatu i mean Jomo Kenyatta,J.Nyerere na Addis nimepita tena hivi majuzi,,Addis vyoo ni vichafu na vichache,Kenyatta vyoo vichache unaweza simama kwenye foleni kwa dakika kumi ukisubiri kujisaidia..!

kaa1.jpg

New modern buses Jomo Kenyatta International Airport.​
 
Back
Top Bottom