Ethiopian Airlines yaagiza ndege 20 za aina ya Boeing

Waache wanunue ndege kwasababu hakuna economic activities za maana ethiopian ndio maana wamebased kwny ndege sasa kwetu tanzania kula kila economic activities hatuitaji kujiingiza kwny biashara za ndege zenye ushindani mkubwa sana siku yoyote 2 unafirisika,tanzania kuna gas,madini na agriculture yakutosha ndio maana biashara ya ndege siyo sana kivile hapa,wahache wao wakimbizane na ndege kwasababu hakuna biashara nyingine pale ni jagwa lisilo na.mafuta mkuu.

You can't reason like this, so what about USA, a country where top four biggest airlines call home. This is more than a business for Ethiopia, its role is bigger than just making money. Having an air transport hub in your city is good for other businesses, ask your horticulture farmers. Its viewed favorably by multi nationals when they consider setting up a regional office. its good for tourism, transiting passengers pay for the service ........................
I can go on and on and on, stop having such a narrow view on issues
 
Nitajie nchi zilizo kwenye horn of africa

Tatizo lenu ni kuwa mfumo wa masomo kwenu una mapungufu na huwa mnabisha, hamtaki kuelekezwa, hamtaki kuambiwa chochote. Unazidi kujiaibisha na ubishi wa kishenzi, wenzio wenye ufahamu wanapita kimya kwa jinsi wanakuona kilaza. Ndio hizo naskia mnaita big results now (BRN), ndio watu kama wewe. Haya usipopata jibu lako hapa chini basi songa mbele sina muda wa kupoteza na wewe.

[h=1]Eastern Africa Region Map[/h]
Eastern Africa constitutes of 18 territories including the island nations in Indian Ocean. Mt. Kilimanjaro and Lake Victoria are the two striking geographical features in this region.

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]

Print

Buy iPad Atlas

Free

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]
africa-eastern-region-map.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 98%"]
[TR]
[TD]Description : This map shows international boundary of Eastern African nations. These have been shaded for your convenience.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Eastern Africa Region Map

East Africa - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Ww nchi yetu imebased bado kwny ujamaa ndio unaona investment zetu zote zinalenga wananchi,huwezi kukimbilia kinunua ndege wakati watu wanakufa na njaa ndege is the costful investement mzee usifikilini raisi kuendesha kampuni ya ndege,ethiopia inakubwa na njaa na kuna umasikini mkubwa sana,njaa kila mara,taifa pumbavu linainvest pesa nyingi kwny investment ambazo hazi mtoi masikini wa chini direct,mm si fulahishwa na investiment zao za ndege, kwasababu wanunua ndege bilion of dollar wakati watu wao ni masikini mpaka wanakufa na njaa duh! Kweli ili nchi inamfumo wa kifalume bado mpaka sasa,coz kunaumasikini kule bora bongo kwetu
 
Vyovyote vile utakavyosema bado haialalishi kuwa ni lazima kila taifa lifanye biashara ya ndege,,siyo lazima hata kidogo...
 
Mkuu usisahau hata ndege zao bado za kizamani sana,huduma ndani ya ndege bado kabisa, pale airport ndio kabisa huduma karibu zote mbovu,pia hawa wanaendesha shirika kienyeji sana, mara kibao unakata ticket siku ya safari utaambiwa ndege imejaa,au itaondoka sio Muda waliokuandikia,

Kuna watu humu ndani hawajawahi kusafiri na hii kampuni lakini wanajifanya wanajua sana mkuu,,,ni kweli kabisa ethiopia airlines inachangamoto nyingi sana,,lazima wajipange kuboresha huduma zao kwakweli..!
 
Tatizo lenu ni kuwa mfumo wa masomo kwenu una mapungufu na huwa mnabisha, hamtaki kuelekezwa, hamtaki kuambiwa chochote. Unazidi kujiaibisha na ubishi wa kishenzi, wenzio wenye ufahamu wanapita kimya kwa jinsi wanakuona kilaza. Ndio hizo naskia mnaita big results now (BRN), ndio watu kama wewe. Haya usipopata jibu lako hapa chini basi songa mbele sina muda wa kupoteza na wewe.

[h=1]Eastern Africa Region Map[/h]
Eastern Africa constitutes of 18 territories including the island nations in Indian Ocean. Mt. Kilimanjaro and Lake Victoria are the two striking geographical features in this region.

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]

Print

Buy iPad Atlas

Free

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]
africa-eastern-region-map.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 98%"]
[TR]
[TD]Description : This map shows international boundary of Eastern African nations. These have been shaded for your convenience.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Eastern Africa Region Map

East Africa - Wikipedia, the free encyclopedia

Kwa mujibu wa hii ramani uliyoweka unamaanisha Zambia,Malawi,Mozambique,Madagascar na Zimbabwe ni Afrika mashariki??
 
Tatizo lenu ni kuwa mfumo wa masomo kwenu una mapungufu na huwa mnabisha, hamtaki kuelekezwa, hamtaki kuambiwa chochote. Unazidi kujiaibisha na ubishi wa kishenzi, wenzio wenye ufahamu wanapita kimya kwa jinsi wanakuona kilaza. Ndio hizo naskia mnaita big results now (BRN), ndio watu kama wewe. Haya usipopata jibu lako hapa chini basi songa mbele sina muda wa kupoteza na wewe.

Eastern Africa Region Map

Eastern Africa constitutes of 18 territories including the island nations in Indian Ocean. Mt. Kilimanjaro and Lake Victoria are the two striking geographical features in this region.

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]

Print

Buy iPad Atlas

Free

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]
africa-eastern-region-map.jpg
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 98%"]
[TR]
[TD]Description : This map shows international boundary of Eastern African nations. These have been shaded for your convenience.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Eastern Africa Region Map

East Africa - Wikipedia, the free encyclopedia

Hahaha cheki ulivyo zuzu, umetaja nchi zilizo mashariki mwa afrika na sio nchi za afrika mashariki.

Rudi shule kilaza wewe
 
Wacha nichukue fursa kuelezea maana naona hata Habari ya Mujini ambaye huwa namuona kama Mtanzania ambaye ameona mataa kidogo lakini hapa ameingilia huu uzuzu wako. Wewe nitakuelewa maana hujatoka Dar vijiweni maisha yako yote, lakini yule namshangaa.

- kwa sababu ya British East Africa Protectorate and German East Africa, walipenda sana kutumia neno East Africa kumaanisha nchi tatu, Kenya, Uganda na Tanzania na hii huwa sana wakati Kingereza kinatumika.
- Ila kijeographia East Afrika inajumuisha Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Somalia na Sudan.
- Halafu pembeni kuna jumuiya ya EAC ambayo labda ndio inafanya mhangaike.
 
Last edited by a moderator:
Ww nchi yetu imebased bado kwny ujamaa ndio unaona investment zetu zote zinalenga wananchi,huwezi kukimbilia kinunua ndege wakati watu wanakufa na njaa ndege is the costful investement mzee usifikilini raisi kuendesha kampuni ya ndege,ethiopia inakubwa na njaa na kuna umasikini mkubwa sana,njaa kila mara,taifa pumbavu linainvest pesa nyingi kwny investment ambazo hazi mtoi masikini wa chini direct,mm si fulahishwa na investiment zao za ndege, kwasababu wanunua ndege bilion of dollar wakati watu wao ni masikini mpaka wanakufa na njaa duh! Kweli ili nchi inamfumo wa kifalume bado mpaka sasa,coz kunaumasikini kule bora bongo kwetu

Si ukae kimya kuliko kuonyesha jinsi ulivyo zuzu.
 
Wacha nichukue fursa kuelezea maana naona hata Habari ya Mujini ambaye huwa namuona kama Mtanzania ambaye ameona mataa kidogo lakini hapa ameingilia huu uzuzu wako. Wewe nitakuelewa maana hujatoka Dar vijiweni maisha yako yote, lakini yule namshangaa.

- kwa sababu ya British East Africa Protectorate and German East Africa, walipenda sana kutumia neno East Africa kumaanisha nchi tatu, Kenya, Uganda na Tanzania na hii huwa sana wakati Kingereza kinatumika.
- Ila kijeographia East Afrika inajumuisha Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Somalia na Sudan.
- Halafu pembeni kuna jumuiya ya EAC ambayo labda ndio inafanya mhangaike.

Inategemeana na ntu na ntu na pia sababu ya kuzingatiwa kwa hiyo geographical location. Majibu yote ni sawa, mnabishania vitu vidogo. Wakati mwingine Tanzania hutajwa kama ni miongoni mwa nchi za Kusini mwa Afrika kama wanaelezea kitu kuhusiana na kusini mwa Afrika na Cameroun hutajwa kama iko Afrika ya Magharibi, Afrika ya Kati, au Afrika ya Kati- Magharibi
 
Wacha nichukue fursa kuelezea maana naona hata Habari ya Mujini ambaye huwa namuona kama Mtanzania ambaye ameona mataa kidogo lakini hapa ameingilia huu uzuzu wako. Wewe nitakuelewa maana hujatoka Dar vijiweni maisha yako yote, lakini yule namshangaa.

- kwa sababu ya British East Africa Protectorate and German East Africa, walipenda sana kutumia neno East Africa kumaanisha nchi tatu, Kenya, Uganda na Tanzania na hii huwa sana wakati Kingereza kinatumika.
- Ila kijeographia East Afrika inajumuisha Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Somalia na Sudan.
- Halafu pembeni kuna jumuiya ya EAC ambayo labda ndio inafanya mhangaike.

Mkuu nadhani hapa hakuna atakaye jihakikishia usahihi wa majibu yake unless inategemea na muktadha wa mazingira na mahitaji ya eneo kwa wakati fulani...hata kenya inaweza kuwa Kusini mwa Afrika kutokana na mahitaji na mazingira ya hali fulani..!
 
Last edited by a moderator:
Sijui umepita lini Julius Nyerere Mkuu ila huo utaratibu haupo tena labda kama viatu vyako vitakuwa na kitu ambacho si cha kawaida,,airports nyingi sasa hiv hawana izo mambo za kuvua viatu plus airports za kisasa hata kama umevaa saa huvuliwi Mkuu fanya uchunguzi...!

Waache waethiopia wawe makini zile ndege ni za kwao na wao ni maskini, hapa Tz hata kama hutokaguliwa athari yao iko wapi?
 
Back
Top Bottom