Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,630
Well said mkuu...100%
hakukuwa na haja ya kuquote uzi wote huu kwa maneno mawili tu
Well said mkuu...100%
Ni kweli kwa issue ya vitu vinavyotoa sauti,,kwa Addis yani hawajali kiatu chako kitatoa au hakitotoa sauti wote mnavua viatu kama mnaingia msikitini,,halafu unakuta foleni ya watu ni kubwa wote mvevua viatu,mabesini ya kuwekea vitu yanakuwa hayatoshi yani ni vurugu kwakweli..kwa wenzetu unapitisha kwenye mashine mabeg na poch tu vitu vya mifukoni mwako unapita navyo na mbele kunakuwa na mkaguzi akitumia mashine ya mkono kuhakiki tu baasi...! Inapunguzu msongamano na usumbufu...!
Put yor facts right, is ethiopia in eastern africa??
It appears you need to go back to school and ask for a refund. Eastern africa includes the sudans, ethiopia and the somalis
Good for them..nimepita uwanja wa ndege wa Addis juzi bado kuna changamoto nyingi za uwanja,vyoo vichache na vichafu,viti na maeneo yakupumzikia machache,lift nyingi hazifanyi kazi,,maeneo ya ukaguzi machache hivyo kusababisha msongamano,vifaa vya ukaguzi ni vya kizamani abiria wanalazimika kuvua hadi viatu kwa ajili ya ukaguzi,,nadhani ununuzi wa ndege hizi uende sambamba na upanuzi wa kiwanja na uboreshaji wa miundo mbinu..all in all m proud of them wanaonesha njia..!
Mkuu hii ni kweli kabisa! Mie nligombana nao sana kuhusu viatu nlikuwa na open shoes za mikanda. Utaratibu wao wa kizamani sana.
hakukuwa na haja ya kuquote uzi wote huu kwa maneno mawili tu
kwani uwanja wa mwl nyerere dar es salaam hawavui viatu!?
Hivi majority shareholder wa Ethiopian Airlines ni nani!
![]()
New modern buses Jomo Kenyatta International Airport.
:nono: Those are "Horn of Africa or larger East Africa" on proper classification! If they are East Africans, then why do you repatriate Somalis? 😛eep: Btw those Cushiites and Amhari don't consider themselves the same as bantus so stop forcing association with them!It appears you need to go back to school and ask for a refund. Eastern africa includes the sudans, ethiopia and the somalis
Hawavui unless kiatu chako kina chuma na kinatoa sauti ukipita kwa mashine...
:nono: Those are "Horn of Africa or larger East Africa" on proper classification! If they are East Africans, then why do you repatriate Somalis? 😛eep: Btw those Cushiites and Amhari don't consider themselves the same as bantus so stop forcing association with them!
kwani uwanja wa mwl nyerere dar es salaam hawavui viatu!?
una uhakika? maana mimi nilipita hapo JKNA tarehe 30 july this year na bado tulivulishwa viatu, mikanda na makoro koro yote yaliyokuwemo mifukoni tuliamriwa kuyaweka kwenye tray!!
Hahaha!! dealing with some of these guys requires a lot of patience. The problem is, most of them don't learn no matter how hard you try to educate them, for instance, you'll see this Bulldog guy repeating this ignorance in another thread. Have had the same problem with Geza Ulole
We ulitakaje labda?
Good for them..nimepita uwanja wa ndege wa Addis juzi bado kuna changamoto nyingi za uwanja,vyoo vichache na vichafu,viti na maeneo yakupumzikia machache,lift nyingi hazifanyi kazi,,maeneo ya ukaguzi machache hivyo kusababisha msongamano,vifaa vya ukaguzi ni vya kizamani abiria wanalazimika kuvua hadi viatu kwa ajili ya ukaguzi,,nadhani ununuzi wa ndege hizi uende sambamba na upanuzi wa kiwanja na uboreshaji wa miundo mbinu..all in all m proud of them wanaonesha njia..!
It appears you need to go back to school and ask for a refund. Eastern africa includes the sudans, ethiopia and the somalis

| Description : Map showing the location of Horn of Africa countries like Eritrea, Djibouti, Somalia & Ethiopia in Africa. |

![]()
Ethiopian Airlines has ordered 20 Boeing 737 MAX 8s aircraft estimated to cost more than $2.1 billion (Sh180 billion). The order includes options and purchase rights for a further 15 737 MAX 8s, representing the largest single Boeing order, by number of airplanes, from an African carrier.
The order underlines our commitment to our 15-year strategic plan, Vision 2025, in which Ethiopian will strive to become the leading airline group in Africa carrying 18 million passengers per annum, Ethiopian Airlines Chief Executive Tewolde Gebremariam, said. He was speaking during a visit to the Association for the Promotion of Tourism to Africa National Forum in Chicago.
The 737 MAX will form a key component of that strategic vision, enhancing our single-aisle fleet and keeping us at the forefront of African aviation. The 737 MAX incorporates the latest technology aimed to deliver the highest efficiency, reliability and passenger comfort in the single-aisle market.
Source: Standard
Standard Digital News : : Business - Ethiopian Airlines orders 20 Boeing aircraft