Taurus6
Senior Member
- Nov 5, 2015
- 172
- 94
nyumbu hawawez kukuamin
Hahaha hahaha
nyumbu hawawez kukuamin
your name speaks all.Kwa kifupi ni kwamba hakunaga mungu
Anyway, tusibadilishe maana ya post. Tulete majibu ya msingi ili tupanue uelewa.Hapo kwenye red ni upotoshaji. Upagani haina maana ya kutomjua Mungu. According to the dictionary, paganism means "a person holding religious beliefs other than those of the main world religions." Neno hilo lilitumika na Wakristo miaka ya mwanzo wa Ukristo kuwaelezea watu ambao walikuwa wanafuata dini ambazo sio Ukristo. Ni sawa na Waislamu sasa hivi wanavyowaita watu wasio Waislamu "Makafiri".
Toa ushahidi. Nani alikufa akafufua?Kuna mtu alikufa akafufuka na kuhadithia ile hisia aliyoipata ya kutengana na muumba wake huko jehanam. Hapakuwa na moto, bali ule utengano ulikuwa unaumiza kuliko kitu chochote unachoweza kukihisi in the physical world, alipopita 'mhusika' wa hiyo Jehanam mtu huyo aliyetengwa na muumba wake alilia kwa nguvu sana na kuita "Mungu wangu..!", "Mungu wangu...!", "Mungu wangu..!", aliita hivyo kwa mara ya idadi ambayo hata yeye hawezi kuhesabu, maana aliamini yule anaepita angeweza kumuondosha mahali pale.., na ghafla alirudi duniani...
Anyway, tusibadilishe maana ya post. Tulete majibu ya msingi ili tupanue uelewa.
Shhhhhhhyour name speaks all.
Huyu mwanadamu alivyo na kiburi,hata mtu akienda huko na kurudi kutuhadithia kinachojiri,hawezi kuamini.Kati ya vitu vigumu kuviamini ni pamoja na hili.hakuna mtu amewahi kwenda huko na akaludi kutuhadithia ukweli,tunasoma tu na tunaambiwa tuamini,kama MUNGU aliniumba kwa mfano wake tena akanipendelea akanipa kutawala vitu tofauti na binadamu,akili ya mimi kutamani mwanamke mzuri anaepita barabarani kanipa yeye mwenyewe,na tena ananiambia nikimtazama kwa kumtamani nimekwishazini tayali,yaani huo moto wa milele unanisubili,aisee hapa hua kuna utata,ndo mana kuna watu pia wanaamini siku ya mwisho ni ile utakayokufa mauti hapa duniani,tena wengine wanaenda mbele wanaongezea yamkini ukifa utazaliwa tena ktk namna nyingine,ni kizungu zungu kwa kweli
Umethibitishaje kwamba hakuna Mungu? Tupe darasa ili nasi tuelimike kidogo.Kwa kifupi ni kwamba hakunaga mungu
Ushahidi wa huyo mtu?na lazima angekuwa maarufu tu...Kuna mtu alikufa akafufuka na kuhadithia ile hisia aliyoipata ya kutengana na muumba wake huko jehanam. Hapakuwa na moto, bali ule utengano ulikuwa unaumiza kuliko kitu chochote unachoweza kukihisi in the physical world, alipopita 'mhusika' wa hiyo Jehanam mtu huyo aliyetengwa na muumba wake alilia kwa nguvu sana na kuita "Mungu wangu..!", "Mungu wangu...!", "Mungu wangu..!", aliita hivyo kwa mara ya idadi ambayo hata yeye hawezi kuhesabu, maana aliamini yule anaepita angeweza kumuondosha mahali pale.., na ghafla alirudi duniani...
Nikisema kitu fulani hakipo, kazi ya kuthibitisha inahamia kwako wewe unaesema yupo.Umethibitishaje kwamba hakuna Mungu? Tupe darasa ili nasi tuelimike kidogo.
Tupo wengi mkuu, mimi naamini yupo, lakini hizi dini siziamin, cuz kila dini inasema vyake, mimi namuabudu mungu sio dini... Nazichukia sana dini cuz zimeleta ubaguzi na wala sio upendo, zimeleta vikwazo vingi... Sioni sababu ya kitabu cha dini kusheheni maelfu kwa maelfu ya kurasa wakati ingetosha kuandika tu kipi tufanye kipi tusifanye , kipi dhambi kipi sio dhambi... Lakini wamepandikiza vitu vingi, historia za mababu waliouna kwa vita... Non sense... Aaaaaah wacha niishie hapaKwa mfano kwenye dini ya kikristo kuna dhehebu la mashahidi wa yehova wanaamin kuw hakuna moto wa milele ila kuna kifo cha pili yaan watenda dhambi adhabu yao ni kukosa uzima wa milele so hawatakuwepo. Pia wanaamin uzma wa milele watakaopat wengi watabaki Duniani tu na siyo kwenda mbinguni km weng wanavyoamini and ofcoz wataoenda mbinguni ni idadi ndog sana ya watu 144000 tu. kwakwel imani zinachanganya sana hasa pale mtu unapojarb kujua tofaut ya dini na dini au dhehebu na dhehebu inafk wakat znamchangany mtu anashndwa hat kujua ukwel uko wap . By myside I blv there is God but who is the right one Jehovah, Allah or others ambao ckuwah kuwaskia. Ni bonge la confusion
ni moto upiNajua wengi wanaogopa kuongea ukweli, moto unaoongelewa hapa si huu maana kule huendi na mwili..