Mafundisho ya Quran na Biblia yanapingana kuhusu mambo yote ya Msingi. Hakuna namna ambayo mtu anaweza kufanya upatanisho wa mafundisho ya vitabu hivi kwa namna yoyote, yaani tunabakiwa na uchaguzi mmoja tu- kukubali mafundisho ya kitabu kimoja ambacho tumeridhika kwamba ni sahihi na kuyakataa mafundisho ya kitabu kinachopingana. Kazi ambayo kila mtu anabaki nayo ni kujua kipi kati ya vitabu hivi ama vingine ni Neno La Mungu.
Wapi ndani ya biblia inasema Mungu ana nafsi 3? aya ipi inasema hivyo?TUANZE hapa- katika Biblia Mungu ni mmoja na ana Nafsi Tatu Takatifu. Katika Quran Mungu ni moja na hana mshirika. Hapo hao ni Miungu tofauti kabisa (Allah si Eli(Yehova)).
Mungu wa Abraham alikuwa na nafsi ngapi? Mungu wa Moses alikuwa na nafsi ngapi? Mungu wa Yesu alikuwa na nafsi ngapi?
Je Mungu wa Biblia ndiye Mungu wa Adam na Eve? Je Mungu wa Biblia ndiye Mungu wa Moses?
Abraham alifundisha Mungu ana nafsi 3? Moses alifundisha Mungu ana nafsi 3? Yesu alifundisha Mungu ana nafsi 3? Nani aliandika au kufundisha Mungu ana nafsi 3?
Huko nyuma ulishasema Yesu alisema The only true God ni God the father au unayakana maneno yako?Mfano umenukuu Yohana 14:28 na unataka nione Yesu anaposema Baba ni MKUU kuliko mimi. Halafu unasahau kwamba hapohapo Yesu anamtaja Mungu kama BABA yake kitu ambacho wewe kama Muislamu hukubaliani nacho. Sasa nikueleweje, kwamba hapo ukweli ni neno Mkuu na sio neno Baba?
Link Eternal Punishment cannot be understandable by any one
Kama umeisoma vyema hiyo aya, Yesu anasema baba ni baba yake lakini pia ni baba wa wote, ni Mungu wake na ni Mungu wa wote.
Unajitoa ufahamu?
John 20:17 Jesus said, "Do not hold on to me, for I have not yet ascended to the Father. Go instead to my brothers and tell them, 'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'"
Hilo la nafsi tatu unalichomekea tu.Kwa mujibu wa Biblia kuna mafundisho yafuatayo-- Kwamba Mungu(Yehova/Eli/YHWH) ni mmoja. Na kwamba ana Nafsi Tatu Takatifu. Kwamba Yesu ni Mwana Pekee wa Mungu( neno mwana lina maana yake kiBiblia, usitafsiri kirahisirahisi).
Yesu amefundisha Tofauti na unayosoma kwenye exodus 20?
Exodus 20:3 "You shall have no other gods before me.
Mark 12:29 "The most important one," answered Jesus, "is this: 'Hear, O Israel: The Lord our God, the Lord is one.
Na hii zawadi yako.
Link http://www.quranitukufu.net/Biblia/index.htm