ESTIM Construction ni kampuni ya nchi gani?

ESTIM Construction ni kampuni ya nchi gani?

Iyovi mafinga walijitahidi.. japo kuna maeneo walizingua.. ila ni moja ya barabara za kimataifa tanzania. Mafinga igawa iliyo zinduliwa na magufuli juzi ni balaa.. ni mkeka mkali kuliko yote tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha mkeka mkali ,standard ni moja mwanzo mwisho kuanzia mpaka wa Iringa na moro had igawa na sijui itafika lini Mbeya japo kwa sasa rehabilitation imekomea igawa
 
Gullam, Kampuni zote zinajenga vizuri ila ukiritimba na rushwa. Teni percent ndio vinaharibu kazi za watu, angalia gorofa za UDOM crek balaa tupu 10% ilitumika hapo, kitu kingine kinacho haribu ni bajeti ndogo inayotengwa kwa kazi yenyewe mfano hostel za UDSM unaambiwa jengo joint inapumua
 
Kampuni zote zinajenga vizuri ila ukiritimba na rushwa. Teni percent ndo vinaaribu kazi za watu, angalia gorofa za UDOM crek balaa tupu 10% ilitumika hapo, kitu kingine kinacho haribu ni bajeti ndogo inayotengwa kwa kazi yenyewe mfano hostel za UDSM unaambiwa jengo joint inapumua

Haha
 
Iyovi mafinga walijitahidi.. japo kuna maeneo walizingua.. ila ni moja ya barabara za kimataifa tanzania. Mafinga igawa iliyo zinduliwa na magufuli juzi ni balaa.. ni mkeka mkali kuliko yote tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya barabara ambazo zilijengwa kwa ubora sana mpaka sasa,ni Chalinze Moro,haina mpinzani,Malendi,Igunga mpaka Nzega
 
Uwongo mtupu, Estim ni kampuni ya akina Patel wenye MM.steel, Kiwanda cha Sayona, hoteli za Whitesands na Sea Cliff. Tena katoa udhamini kwa Taifa Stars wakae Whitesands wakijiandaa kwenda Misri pia Patel ni swaiba wa MZEE wa Msoga walisoma pamoja Lugoba zama hizo.
MM STEEL yeye ndio huwaconect wahindi wenzie kwa viongozi wa serikali na kuwadhamini mitaji ya miradi mbali mbali au biashara,hata Giri wa estim kabebwa sana na Subashi, wakati huo akiwa konoike ya kenya, baadaye akaja Tanzania pamoja na yule muhindi wa Moshi,Sons
 
Nasikia mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo aliwahi kuwa waziri wa ujenzi na hasa alisifika kwa unyapara katika kusimamia ujenzi wa barabara
Unamaanisha kuwa hiyo M katika hilo jina la kampuni ni kifupi cha jina la aliyekuwa mheshimiwa waziri wa ujenzi? Umesikia wapi kama si umbea? Kama ni umbea usilete humu JF.
 
Tabutupu,
Inaonekana nawe umo ndani ya hiyo kampuni ila umesimama nje katika kuizungumzia...
 
Wamekulipa kiasi gani mkuu kwa hii promo?



Mkuu, huyu mwsndishi katumwa siyo bure, niliposoma mistari michache ya kwanza nikaona wazi kabisa ni kama wale wanaotuma meseji za promo za waganga wa jadi "yule mwizi amerudisha zile fedha alizoiba, asante..."

Mwandishi anasifia kazi ambayo haijaanza hata kuleta sura ya kitu kinachotakiwa kufanyika,

"Watanzania siyo wajinga", alisema Rais Magufuli
 
Wamekulipa kiasi gani mkuu kwa hii promo?
Jamaa kazungukazungukaaaa, akifikiri watu wote hawajui kusoma.
Promo ya kishamba kweli!

Kampuni inawezekana ikawa nzuri kama ilivyoelezwa, lakini aliyetumwa kupiga kampeni kazi inamzidi kimo.
 
Gullam,
Unamaanisha hii Estim ni mali ya Caspian ambayo ni mali ya Rostam Aziz yule mwana CCM kindaki ndaki?
 
Back
Top Bottom