Uchaguzi 2020 Ester Bulaya aiua CCM Bunda kifo cha kikatili mno. Uzinduzi wa kampeni wadhihirisha

Mbunge wa bunda mh Ester Bulaya leo hii amefanya mkutano wa ufunguzi wa kampeini kwa kishindo kikuu mjini bunda.

Mkutano huu imekuwa ni majibu tosha kwa mkutano wa jana wa mgombea wa ccm ulio fanyika musoma huku yakitokea ya kutokea kama tulivyo sikia.

Hizi ni salaam kwa wana ccm kuwa safari hii wananchi wameichoka kabisa.

Tanzania bila ccm inawezekana. View attachment 1561909View attachment 1561910View attachment 1561911

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hata Mama Maria Nyerere najua kuwa amefarijika sana kwa kuona muitikio mkubwa wa watu ambao hawabebwi na malori. Watu ambao kwa hiari yao wamejitokeza na kwenda kusilikiliza sera za maendeleo ya watu.

Sera zenye harufu nzuri ya uhuru, haki na maendeleo ya watu. Si zile za kubagaza watu na kuwatia hofu, ili kuwalazimisha wasifanye uchaguzi wa yule na wale wanaowataka wawe viongozi wao.
 
Hapo hata Mama Maria Nyerere najua kuwa amefarijika sana kwa kuona muitikio mkubwa wa watu ambao hawabebwi na malori. Watu ambao kwa hiari yao wamejitokeza na kwenda kusilikiliza sera za maendeleo ya watu.

Sera zenye harufu nzuri ya uhuru, haki na maendeleo ya watu. Si zile za kubagaza watu na kuwatia hofu, ili kuwalazimisha wasifanye uchaguzi wa yule na wale wanaowataka wawe viongozi wao.
Hakika mkuu na hizi alizofanya Ester ndiyo siasa zinazo kubalika bila kutumia mihipa ya shingo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa risasi kwa Lissu mwananchi wa kawaida akumuhusu.labda kama mnahitaji kura za huruma ambazo amuwezi pata kamwe.
Nafatilia kampeni za mgombea wa CCM sijawai kusikia hoja za kibaguzi.
nachosikia mimi ni sera mwanzo mwisho.

"Hata Kama ni MBOVU CHAGUENI Mgombea wa ccm". - Shinyanga mjini.

"Mkichagua UPINZANI mtajuta" ,. - Masanza Kona.

"Barabara kutoka Mwibara imeishia mpakani na Bunda, tungeipeleka mpaka Serengeti, Bunda walipochagua UPINZANI tukaiacha, siwezi kumpa chakula mtoto wa jirani"

HIZO NAZO SERA NDANI YA ILANI YENU?

HUO SIYO UBAGUZI?



Majimbo YOTE yatakayo chagua WAPINZANI wa ccm, KODI ZAO WATUMIE KWA MAENDELEO YA MAJIMBO YAO TU WASIPELEKE HAZINA.

MKIPATA MISAADA KUTOKA KWA MARAFIKI (WAHISANI) ITUMIKE KWENYE MAJIMBO YENU TU.
 
Safi sn wana bunda.... Nyie mnaakili timamu
Wana akili timamu zitakazoendelea kuwakosti. Maji tu shida hapo na Bulaya hana uwezo wa kuwapelekea maji. Wasira alipelekaga mradi wa kuchimba mbwawa chini ya Ikuzu kule, tangu Bulaya aingie limekuwa josho la mifugo na hakuna cha mradi wala babu yake mradi.
 
Hivi unafikiri CCM bila policcm , tumeccm , tissccm maafisa vipenyo CCM wana kitu , hamna mwananchi anayewataka kabisa nchi nzima , Mpaka wanasomba watoto kwenye mikutano Yao Mpaka aibu aiseee
IMG_20200907_165816.jpg
Screenshot_20200907-114737.png
 
Wananchi wa nchi hii hivi sasa hawaogopi tena vitisho vyake Jiwe na chama chake cha CCM..............

Eti sitaleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani!

Utadhani hiyo pesa ya maendeleo anaitoa mfukoni mwake yeye mwenyewe Jiwe, wakati ni pesa inayotoka Hazina, ambapo ni pesa za walipa kodi wa nchi hii, wanaccm na wana Chadema na wasio na chama.

Kwa ubaguzi anaoonyesha wazi wazi, basi ni bora angewatangazia wananchi hao anaowatisha ili awaeleze pia iwapo watachagua wapinzani hawataendelea kulipa kodi
Nitafurahi Mzee Magufuli atangaze akishinda majimbo waliyochaguwa upinzani hatokusanya kodi na ofisi za TRA kwenye maeneo hayo atazifunga.

Hapo nitamuelewa vizuri.
FB_IMG_1599482575352.jpg
 
bado najuliza na naomba mungu anipe msaada , hivi mwaka huu ccm watatoa kura wapi, maana vimbunga vinatisha
 
bado najuliza na naomba mungu anipe msaada , hivi mwaka huu ccm watatoa kura wapi, maana vimbunga vinatisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom