Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
-
- #101
Spekar ametoka wapi hapo na spekar na mambo ya polisi ni wapi na wapiNi hivi issue ya kukamatwa Ester Bulaya, mwaka jana kuna wafuasi wa Ester Bulaya walifikishwa kituo cyha polisi Bunda Mheshimiwa akafuatilia wafuasi wake kukawa na majibizano kati ya polisi na Mh Bulaya , Polisi kama kwaida yao wakadai kafanya fujo kituoni wakataka kumweka ndani lakini wakasema kampeni zikiisha ajipeleke mwenyewe Mh Bulaya hajaenda hadi leo SEVEN WASSIRA akaenda kukumbishia hiyo kesi Polisi ndipo wakamwambia hawajuo mtuhumiwa alipo wakamwuliza spika ndipo spika huyo akakurupuka kumwita mh Bulaya akapamane na kesi yake , sababu ni hiyo
natabiri , Wasira atajinyonga muda si mrefu .Nimefuatili kosa la Ester Bulaya eti alifanya fujo kwenye kituo cha polisi Bunda mwaka jana mlalamikaji ni steven Wassira
teh teh tehnatabiri , Wasira atajinyonga muda si mrefu .
Ametokea wapi hapa mbona ujitambui weweMbona mamvi hakujinyonga.
KWELK LINAITAJI KUANGALIWAkwa ujinga huu wa leo kuna haja ya kuangalia muundo wa jeshi la polis na watoa amri wengine. gharama hizi zisizo za lazima zaweza kuzuilika.....
mbona sababu ya kijinga hvyo??Ni hivi issue ya kukamatwa Ester Bulaya, mwaka jana kuna wafuasi wa Ester Bulaya walifikishwa kituo cyha polisi Bunda Mheshimiwa akafuatilia wafuasi wake kukawa na majibizano kati ya polisi na Mh Bulaya , Polisi kama kwaida yao wakadai kafanya fujo kituoni wakataka kumweka ndani lakini wakasema kampeni zikiisha ajipeleke mwenyewe Mh Bulaya hajaenda hadi leo SEVEN WASSIRA akaenda kukumbishia hiyo kesi Polisi ndipo wakamwambia hawajuo mtuhumiwa alipo wakamwuliza spika ndipo spika huyo akakurupuka kumwita mh Bulaya akapamane na kesi yake , sababu ni hiyo
Ktk waropokaji basi wewe unajitahidi. Sasa dini inaingiaje hapo?NGOs huwa hazifanyi kazi kwa kushinikizwa.WAPI HAKI ZA BINADMU, WAPI WANAHARAKATI, WAPI TAMWA, WAPI TAULA, WAPI LHRC, WAPI KIBAMBA, WAPI, NYA, WAPI BISIMBA, WAPI VIONGOZI WA DINI?? DEMOKRASIA IKO WAPI? MBONA HATUONI MATAMKO WALA MAANDAMANO? AU KWA VILE NI AWAMU YA WA DINI YETU? YULE TULIKUWA TUNAMFANYIA MAANDAMANO NA KUMSUMBUA KWA VILE HAKUWA WA DINI YETU?
Hakuna mpinzani yoyote anayekamatwa kwa sababu za maanambona sababu ya kijinga hvyo??
Wakifanya makosa na wakamatwe tu....hivi kwanini hawakumpga hata makofi aiseee ningefurahiiii maana nisivyowapenda chadema.
Kwani bulaya mama yako?Kumbe walimleta dar, jamani mama zetu wanadhalilishwa sana, wakina mama msiwe mnawapigia kura ccm mnaona vitendo vyao
Naona nzi uliyoona kinyesi umewasiliBasi mwenyewe hapo kafurahii, maana huwa wanependa sana kukamatwa na polisi halafu wakiachiwa waongee na vyombo vya habari, wakirudi huko wanapongezana kwa kuitana makamanda, hawa ni wa kuwaacha tu tuone kama watakamatana wenyewe.
Hicho ndio chama cha MachafukoAtakayeleta fyokofyoko choma ndani tu.
Pole sana kamandaMh Estar bulaya mbunge wa bunda akiwa kwenye office ndogo za bunge jiji daresalam baada yakuachiwa huru na mda huu anaelekea airport kwa ajiri ya safari yakwenda mwanza kwenye kikao cha kamati kuu..