Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
-
- #81
Kesi ilifunguliwa wapi? Ndio waje kumkamata leo kwa kosa la mwaka jana?Nimefuatili kosa la Ester Bulaya eti alifanya fujo kwenye kituo cha polisi Bunda mwaka jana mlalamikaji ni steven Wassira
Ndio yeye. Mpaka mwezi uliopita kaingiziwa mshahara. Magu kashindwa kumchana kwenye kamera (wote tunajua ni kwanini)Duh! Nilidhani kuna mtu alikuwa anachukua kwa jina lake kumbe ni yeye mwenyewe? Wonders shall never end mkuu
Nimefuatili kosa la Ester Bulaya eti alifanya fujo kwenye kituo cha polisi Bunda mwaka jana mlalamikaji ni steven Wassira
Haiwezekani kuwa ndio sababu, bunge linaingiaje hapo sasa?Nimefuatili kosa la Ester Bulaya eti alifanya fujo kwenye kituo cha polisi Bunda mwaka jana mlalamikaji ni steven Wassira
Kwahiyo ule aliyeuwangusha ni karumanzira?
Kulikuwa na umuhimu gani mpaka kwenda kumkamata usiku wa manani wakati Ester alikuwa anaonekana muda wato wa mchana?.Hata kama kulikuwa na amri ya kumkamata wangemkamata mchana na siyo usiku.no...pale alipofikishwa ofisi za bunge lazima awe aliambiwa...lazima pia yeye anajua ana mvutano gani na ofisi ya spika....tuache kulalamika tu...tujue alikamatwa kwa kosa gani?
IMESHAJICHIMBIA CKU NYINGI ILICHOBAKISHA NI KUFUKIWA[emoji90]Ccm inajichimbia kaburi lake lenyewe
Tunaposema serekali hii niyamaigizo na mazingaombwe tunaimanisha
niko serious nahitaji kujua kosa alilokuwa charged nalo...so hizo rhetorics
Imetokea jana...Hii nilini mkuu?
Ndio maana nawauliza hawa wacheza maigizo hizi garama ni mtanzania alipe?Kwa Level ya Bulaya kulikuwa hakuna sababu ya kumkamata kama gaidi...
Wangempigia simu naamini angeenda kwa gharama zake na kurudi kwa gharama zake.
Akili za #Ndugai ni sawa na za Mtoto....
Nihatari sana wanatumia ndumba nini?Imetokea jana...
HayahusianiKumbe walimleta dar, jamani mama zetu wanadhalilishwa sana, wakina mama msiwe mnawapigia kura ccm mnaona vitendo vyao