Esmail Qaani aliyemchomesha Ayatolla Khamenei yuko hai Israel

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
17,644
Reaction score
27,740
Screenshot_20260307_114410_WhatsApp.jpg

Esmail Qaani Yuko Hai Israel: Siri ya Usaliti Mkubwa Mashariki ya Kati​

Ripoti za kijasusi zimeibua tetesi nzito zikidai kuwa Esmail Qaani, mkuu wa Kikosi cha Quds, yuko hai nchini Israel baada ya kutoroka Iran kwa siri. Inadaiwa Qaani alishiriki kikamilifu kutoa ramani na siri zilizopelekea kuuawa kwa Ismail Haniyeh kule Tehran, Hassan Nasrallah kule Lebanon, na viongozi wengine waandamizi wa Hezbollah.

Habari hizo zinadai kuwa Qaani alipanga njama za ndani dhidi ya Ayatollah Khamenei kabla ya kutoroka kupitia mpaka wa siri. Inasemekana sasa anahifadhiwa na Mossad nchini Israel kama shahidi mkuu, huku akitoa siri za kijeshi za Iran baada ya kuona mfumo wa uongozi wa Tehran ukitetereka
 
View attachment 3554085

Hii ni tetesi, sio taarifa. Hakuna chanzo wala proof juu ya madai haya.
 
Mnabeba kila kitu na kukileta huku
 
Taarifa hii sio kweli kbs
 
Mzee kafa ndani ya nchi yakeb akipigania nchi yake dhidi ya maadui wake
 
Fake news, huyu yupo mikononi mwa IRGC na alikua purged muda mrefu tu tokea kifo cha Nasrallah.
 
Back
Top Bottom