Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,350
Sijawahi kuona makala ya kijinga kama hii, Kama siyo ZZK kumgalagaza Mhongo kwa hoja, si Mhongo alikuwa amedilute hoja za PAC kiujanja, lakini Zitto siku ya pili yake aligongelea kwa utaalam mkubwa,tena kwa hoja nzito na fact kiasi cha kumgaragaza yule profesa!.Kafulila na Zitto ni Masterling halisi wa ile movie ya Escrow