Escrow ''yamruka'' Zitto Kabwe

Escrow ''yamruka'' Zitto Kabwe

Ninachokumbuka zitto alicheza na akili ya spika na kma île hoja ingepita hâta PM alikuwa anaenda ndo wajanja wakamtonya spika akaifuta

usiwaamshe hao utalala wewe.mungu kakupa kipaji chakuona mbali.waache wabaki hivyo hivyo zito aliwasaliti pale.wakati zito alisha mvesha limu hadi pinda.ole sendeka akashtukia somo
 
Kila mwenye akili za kawaida aliye shuhudia Bunge lile,aliona jinsi Zitto alivyo salimu amri kwa Chenge kirahisi,kwa kisingizio cha kuchoka akili!Leo anajifanya mjamaa/mzalendo.
Wajinga ndio waliwao.Amkeni wa Tanzania
 
Tatizo ni kwamba Mnyika na Lissu walikuwa wanamtaka Profesa Muhongo tu baasi, hawa watuhumiwa wengine hawakuwa na interest nao, ndiyo maana Zitto kwa weledi wake alitambua lile Azimio la Chenge lilikuwa Linawachapa watuhumiwa wote, Lakini akina Mnyika hawakulitaka kwa sababu walitaka waone knockout ya on the spot kwa Muhongo. Laiti akina Mnyika wangekuwa na nia ya dhati kuwashughulikia watuhumiwa wote akiwemo prime minister, then leo hii mamlaka za uteuzi ambayo ni Prezidaa ingekuwa imewekwa kikaangoni kumshughulikia PM. Wenje peke yake na Zitto ndo waligundua opportunity kama hiyo kwenye lile pendekezo la Chenge, wengine walikuwa na Vandetta dhidi ya Muhongo, ndo maana walipoenda kwenye kamati ya maridhiano wakamchomoa Pinda in exchange ya kuhakikishiwa kuwa Mhongo anaondoka!
 
Mkandara kwa nini Zito alifunika taarifa za Stanbic Bank wakati fedha nyingi za Escrow zilipitia huko, zikibebwa na masandarusi???
Inanatia shaka alikuwa anamlinda nani??
 
Last edited by a moderator:
Mkandara kwa nini Zito alifunika taarifa za Stanbic Bank wakati fedha nyingi za Escrow zilipitia huko, zikibebwa na masandarusi???
Inanatia shaka alikuwa anamlinda nani??
Nijuavyo mimi ni kwamba kazi ya kamati za bunge ni kuisimamia serikali hivyo PAC wanatazama wajibu wa serikali na mashirika ya Umma tu kutokana na repoti ya Mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali ambayo ilionyesha wapi kumetokea rushwa ama ufisadi. IPTL na Tanesco ni mashirika ya Umma na PAP ni shirika binafsi..

Hivyo walichokifanya PAC ni ukaguzi wa jukumu walopewa na sio kuingilia mashirika yasokuwa ya Umma. Ila bunge linaweza kuomba ama kuunda tume maalum ya uchunguzi wa swala zima la PAP wakawekwa kitimoto kama inavyofanyika nchi za magharibi. Kule Stanbic ndiko kuna moto mkubwa wa PAP ya Singasinga hawataki paguswe maana naamini wenye hsa ni wakubwa hata Ruge alitumiwa tu kuna wakubwa nyuma ya hisa zake.

Hata wewe ukiwa Auditor wa Chadema huwezi kufanya auditing Stanbic ikiwa kuna fedha Mbowe kazichukua na kuweka huko. Bank inakuwa na siri baina yake na Mteja hadi pale mashtaka ya Mbowe yatakapo fika mahakamani na mahakama ikatoa mwongozo wa bank kutoa taarifa za account ya Mbowe. Na bahati mbaya sana bunge letu halina meno na ndio maana unaona kuna baadhi ya viongozi hugoma kutoa ushahidi ama repoti zinazotakiwa bungeni kwa sababu tuna sheria butu zinawalinda mafisadi kwa kuogopa mashirika binafsi ati yanaweza kuondoka nchini - Only in Tanzania!
 
Kama taharifa yenyewe imeandikwa na Saidi Kubenea basi tayari imekosa mshiko maana iko bias. Kubenea kutokana na mapenzi yake kwa CDM hajawahi kumuandika Zitto kwa mema, hapo ni sawa na kutegemea gazeti la Uhuru liandike vizuri kuhusu Mbowe!
 
Tatizo ni kwamba Mnyika na Lissu walikuwa wanamtaka Profesa Muhongo tu baasi, hawa watuhumiwa wengine hawakuwa na interest nao, ndiyo maana Zitto kwa weledi wake alitambua lile Azimio la Chenge lilikuwa Linawachapa watuhumiwa wote, Lakini akina Mnyika hawakulitaka kwa sababu walitaka waone knockout ya on the spot kwa Muhongo. Laiti akina Mnyika wangekuwa na nia ya dhati kuwashughulikia watuhumiwa wote akiwemo prime minister, then leo hii mamlaka za uteuzi ambayo ni Prezidaa ingekuwa imewekwa kikaangoni kumshughulikia PM. Wenje peke yake na Zitto ndo waligundua opportunity kama hiyo kwenye lile pendekezo la Chenge, wengine walikuwa na Vandetta dhidi ya Muhongo, ndo maana walipoenda kwenye kamati ya maridhiano wakamchomoa Pinda in exchange ya kuhakikishiwa kuwa Mhongo anaondoka!

I don't think so. Wewe kuna mambo yalikupita hasa timing ya Chenge, body language ya Zitto, reaction ya Mdee, na baadae Mnyika.
Raisi asingekubali serikali yake ipigwe chini kwa idadi kubwa vile ya mawaziri akiwemo waziri mkuu. No way!
Chenge na Zitto walilifahamu hilo. By the way, pendekezo la Chenge halikuweka bayana nini kifanyike, na ndipo mtego ulipokuwa.

Hata hivyo, nakubaliana na wadau wengine kwamba Kubenea is biased somehow.
 
....
Na wamechaguliwa viongozi wa kamati hizo kutokana na uwezo wao na sii siri Zitto anaiweza kazi hiyo. Na isitoshe Kafulila na Zitto ni watu waloitwa tumbili kutokana na ushirikiano wao ktk maswala ya Bunge. ....i.
Mkuu mbona unapenda kupotosha sana...ebu toa ushahidi ni lini Zitto aliwahi kuitwa 'tumbili' a.k.a ngedere...!!!
 
Duh Mkuu wangu nimewasoma humu JF sii mara moja wala mbili Zitto akiitwa Tumbuli maana Werema kama alianzisha jina hilo kwa Kafulila basi likawa ndio msemo, na Zitto aliitwa tumbili vile vile juu ya fedha zilizopekwa Uswiss. Sema itakuwa kazi mpya kuanza kutafuta nukuu hizo lakini kinachosemwa mimi hukiweka maanani na sisahau. Kifupi Zitto ameifanya kazi alokabidhiwa kwa uhodari mkubwa na pasipo woga na anastahili sifa na tusubiri watakao shika kamati hiyo wataiendelezaje? PAC haikuwa hivi kabla ya Zitto.
 
Nijuavyo mimi ni kwamba kazi ya kamati za bunge ni kuisimamia serikali hivyo PAC wanatazama wajibu wa serikali na mashirika ya Umma tu kutokana na repoti ya Mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali ambayo ilionyesha wapi kumetokea rushwa ama ufisadi. IPTL na Tanesco ni mashirika ya Umma na PAP ni shirika binafsi..

Hivyo walichokifanya PAC ni ukaguzi wa jukumu walopewa na sio kuingilia mashirika yasokuwa ya Umma. Ila bunge linaweza kuomba ama kuunda tume maalum ya uchunguzi wa swala zima la PAP wakawekwa kitimoto kama inavyofanyika nchi za magharibi. Kule Stanbic ndiko kuna moto mkubwa wa PAP ya Singasinga hawataki paguswe maana naamini wenye hsa ni wakubwa hata Ruge alitumiwa tu kuna wakubwa nyuma ya hisa zake.

Hata wewe ukiwa Auditor wa Chadema huwezi kufanya auditing Stanbic ikiwa kuna fedha Mbowe kazichukua na kuweka huko. Bank inakuwa na siri baina yake na Mteja hadi pale mashtaka ya Mbowe yatakapo fika mahakamani na mahakama ikatoa mwongozo wa bank kutoa taarifa za account ya Mbowe. Na bahati mbaya sana bunge letu halina meno na ndio maana unaona kuna baadhi ya viongozi hugoma kutoa ushahidi ama repoti zinazotakiwa bungeni kwa sababu tuna sheria butu zinawalinda mafisadi kwa kuogopa mashirika binafsi ati yanaweza kuondoka nchini - Only in Tanzania!
umekosa mtu wa kumtolea mfano mpaka umtaje Kamanda Mbowe?
 
Ndugu wana bodi,

Wakati Zitto akihutubia katika kata ya Nguruka leo asubuhi, amewaeleza wananchi wa Nguruka kuwa hajawahi kuwa kibaraka wa CCM na hajawahi kuwa mchoyo kushirikiana na wenzake katika kuisogeza Kigoma mbele na kuiwajibisha serikali ya CCM.

Kwani hata kwenye hoja ya ESCROW, yeye ndiye aliyempatia Kafulila nyaraka zote wakati ule mama yake akiwa anaumwa, na akasema wananchi wa Kigoma Kusini wasivunjike moyo kwa maneno ya propaganda.
Zito ni mnafiki,aseme nani kaficha hela za uswis
 
Back
Top Bottom