lobbying za washington nyingi ni za kufaidisha makampuni makubwa,mabenki na viwanda vya silahaWenzetu chochote wanachofanya wanahahakisha kina benefit kwa wananchi kwanza. Wana sign contract ambayo itawafaidisha wananchi lakini huku kwetu ni tofauti, maslahi yao mbele wananchi baadae!
Tena kwa kuwaibia polisiccm Lol!Lugumi tu alitushinda
sidhani kama heineken wana marketshare kubwa kivileYeye ndiye mtengenezaji pekee wa bia ya Heineken nchini,bila shaka unajua jinsi biashara ya vileo inavyolipa
Hana lolote kwani hajui hii saga?Mtumie mjomba Magu ilituone moto wake katika hili.
akigusa hiyo na ccm ndo imekufa kabisa mkuu,sasa sijui utajiunga ccm gani? Ndo maana watu wanasema hawezi kata tawi alilokaliaAkigusa moto huuu najiunga CCM kumpiga Tafu
Tatizo ccmHivi bado CCM wanayo moral authority ya kuongoza nchi hii kweli? Na sijui JPM anajisikiaje kuwa mwenyekiti wa chama kama hiki huku yeye mwenyewe akijivisha joho la mtetezi wa wanyonge. I don't understand.Kwa bahati mbaya sana katika serikali hii bado tunaona dalili za wazi za kuwalinda mafisadi badala ya kuwashuhulikia kwa nguvu zote. Mahakama zipo, mahakimu wapo, mafisadi wapo, nini tatizo? Inakera kwa kweli.
Na hawezi kamwe!Hawezi kugusa
Njia ya kuzuia Haya yasitokee tena ni kurudisha rasmi ya pili ya katiba mpya jambo ambalo ni gumu kwa mfia ccm ila rahisi kwa wafia TanzaniaANaweza kuzuia tu haya yasitokee tena inatosha!Kufukua mambo ambayo hukuwa na maamuzi nayo sioni kama kuna umuhimu!Kila zama na kitabu chake
Unataka aungue?Magufuli hadi namuonea huruma kiukweli kama atagusa huu moto !!
Si ajabu ndo maana huwa wanaimba "ccm ni ile ile! Oooooh ni ile ile"Jamaa alisema nitawalinda!!
Ndugu unasubiri MELI Airport huamini kama unaweza kuchakaaKwa kuwa mkuu tuliye naye "anaaminika" kwa kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa, na ni mpeni wa Mungu, nina hakika hili atalishughulikia tu ipasavyo. Ila kama wastaafu alioahidi kuwalinda wanahusika, itakuwa mtihani mkubwa kwake.
Wee nawe unasumbua watu bhana! Una quote lipost looote halafu una comment maneno mawili, jifunze .Mtumie mjomba Magu ilituone moto wake katika hili.
Tatizo lake anaamini anajua kila kituAngeweza kama angepata Support. Kila kukicha ni kumkashifu,kumvunjia heshima, kudharau, kumdhalilisha kumtukana n.k Halafu eti unataka afukue vya mtangulizi wake kwa watu wasio na shukrani kama ninyi. Naamini na yy ameona ninyi si wa kuwakimbilia. Unafikiri nani atakuwa mfariji wake. Mimi nahakika Magu angeweza kufanya yasiyotarajiwa kwa kuwa ana uthubutu ila ss anamfanyia nani? Ss tuliowanafiki hata shukrani hatuna. .ili akikorofishana na wenzake tukae tumcheke. ..peleka huko upuuzi wako !!
Unawasemea Twaweza?Labda hao watafiti na mie nilikuwa respondent wao hahahahahaha