Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Mkuu, yaelekea una hasira sana na JK. Na huu ndio ujinga wa wafuasi wa chadema ambao wanadhani kuwa Tanzania inaongozwa kwa amri ya mtu mmoja tu
Kama Tanzania haiongozi na amri ya mtu mmoja, kwa nini maazimio ya Bunge yanapuuzwa na majumuisho yake kupotoshwa na mtu mmoja?
Unajua kwamba Bunge linatuwakilisha wananchi na sio Rais?
Wakati anasema ataibadilisha kigoma kuwa Dubai tulikubaliana naye kwenye ndoto hizo si mapepo yake ya uwongo mwenyewe.