Naona inawauma zana mhaya mwenzenu kufukuzwa.
Nilitaka kuonyesha tu ni kwakiasi gani Jk hana maamuzi na sio ulivyofikiria!
Naona inawauma zana mhaya mwenzenu kufukuzwa.
Kwani wewe maamuzi unayoona ya Rais ni maamuzi gani?
Kubenea ni mchekeshaji tu na anaandika haya kumfurahisha bosi wake
Kama ni kweli ndivyo kinachoendelea... Anna Tibaijuka is a SCAPEGOAT... na Anajulikana fika alikuwa hana Makundi ndani ya CCM hence ni rahisi kumsengenya na kumuangusha...
Sababu, ni kwanini CHENGE hawamjadili huko CC aondoke kwenye CCM ? kwanini Anna Makinda bado anamtumia CHENGE kwenye maamuzi mengi tu BUNGENI ni kwasababu alisoma HARVARD ??? Anna Tibaijuka is Bright as well!!!
Nchini Kenya Wanasifia Uamuzi wa Rais Kikwete sababu -- Rais katoka kabila dogo na kamfukuza kazi mtu wa kabila kubwa na hakuna mtafakuru wa kikabila nchini...
Is there ENOUGH is ENOUGH ??? Yeye Hakuiba hizo PESA... Wezi wapo na Wengine around Rais wetu na hakuna wa kuwashitaki... Is there a REAL JUSTICE in OUR BELOVED NATION ??
"Wakimwaga mboga na sisi tunamwaga ugali.... JK ajaribu aone" - Kuna mtu kanitonya hivyo muda si mrefu...
Muhongo hawajibishwi kwa sababu anajua mengi na hana matani na nimsema kweli. Aidha wamfukuze amwage kila kitu hadharani au wammalizie ili wawe salama.....
......Zimwi limevimba ndani ya nyumba ...kalikuwa ka mjusi tu sasa LIMAMBA !!
Matendo ya Kikwete yana incite violence
Wenye akili za kawaida tunajua wazi.kuwa esrow ne dili la kikwete na familia yake
Wenye akili za kawaida tunajua wazi.kuwa esrow ne dili la kikwete na familia yake
Muhongo hawajibishwi kwa sababu anajua mengi na hana matani na nimsema kweli. Aidha wamfukuze amwage kila kitu hadharani au wammalizie ili wawe salama.
Kweli kabisa kwani Albert Marwa ndiye aliyemleta Harbinder Singh na kufanikisha uchotwaji wa fedha hizo. Hivyo wizi wote wa fedha hizo ni kazi ya Kikwete na ndiye anayetakiwa kuwajibishwa pamoja na Muhongo, Maswi, Gavana wa Benki Kuu Prof. Ndulu.
Matendo ya Kikwete yana incite violence
Aliambiwa akayapuuza kwani alifanya kazi ya kumlinda Mkwere na Gavana wa Benki Kuu. Yeye alipewa hata wezi wa Stanbic akakataa kuitoa na kuamua kuwaandama waliopewa fedha na Rugemalira ili kutekeleza kazi aliyopewa na Mkono na Standard Chartered Bank.hahahahahaaaaa! Hayo mlimwambia Zitto wakati anaandaa ripoti ya PAC?
duh! Hii sasa ni kali. Yote haya ni kutamani Muhongo awajibishwe hata kama hana hatia
duh! Hii sasa ni kali. Yote haya ni kutamani Muhongo awajibishwe hata kama hana hatia