Inavyoelekea kuna mkakati ambao unaendelea ili Tibaijuka aonekane hana hatia. Mbona hawa akina Kubenea hawawataji akina Ngeleja, Chenge na wengine waliokula fedha hizo? Kubenea ni mpuuzi tena amepindukia
Yaani kama kuna mtu anaonewa ni huyu mama Ana tibaijuka wezi wapo wanajulikana
sasa iweje huyu mama wamfanye mbuzi wa kafara? kumpeleka huyu mama mahakamani
hapo serikari itaonyesha ni namna gani ilivyo dhaifu kiutendaji
singa singa yupo Luge yupo na wengine waliochukua zile za stanbic wapo mbona
hawaongelewi wala kutajwa? na huyu Raisi Kesha tufanya mafala mara aseme pesa siyo
za umma sasa ni nani mlalamikaji kwa prof Tibaijuka? tuache kuonana mabwege
watajwe waliobeba fedha pale stanibic kwenye malumbesa siyo hicho kiasi kidogo
alichochotewa huyo mama pls vinginevyo tutaonana wabaya.
Na ndo maana serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye mradi wa gesi asilia ili tujitegemee kiuchumi
Mkuu hata Mwendawazimu anajua hivyo.Wenye akili za kawaida tunajua wazi.kuwa esrow ne dili la kikwete na familia yake
Rushwa kwa kazi ipi? Katika sakata zima la Escrow wizara ya aridhi haikua na uhusiano wowote na sakata hilo wizara zilizohusika zinajulikana. Ukienda mahakamani na ushahidi huu wa kusema amepokea rushwa utagaragazwa na utaishia kulipa dhamana. Huingii akilini mtu ambae hana influence katika maamuzi na wala hakuna popote alipotoa ushauri na ripoti zote za Takukuru na CAG hakuna popote zinapomtaja zaidi ya kuonekana kwenye orodha ya mgao useme kua amepokea rushwa.
Umenena vyema.mliompigia kura jk jipimeni akili zenu...
JK alisema huwezi kuamka tu asubuhi ukakuta fedha zimejaa kwenye akaunti yako. Zimetoka wapi? Zimeshuka kutoka mbinguni? Na JK aliyasema haya baada ya kuzungumza na Bodi ya Shule anayoingoza (anayoimiliki?) Tibaijuka, akiwemo Mzee Rupia. Mazingira ya rushwa ni dhahiri, na kukiukwa kwa maadili ya viongozi ni dhahiri. Sasa, anayeweza kuamua kama huyu mama ana hatia au la ni mahakama. Si wewe, wala mimi. Alipewa rushwa kwa kazi ipi, huyu mama ataileza mahakama wakati ukifika. Ripoti ya CAG haijamtaja popote haina maana kuwa Mama Tibaijuka hakupokea rushwa. Na wala si kazi ya CAG kuchunguza mashauri ya rushwa. Ripoti ya TAKUKURU unayosema haimtaji huyu mama kupokea rushwa umeiona? Unaweza kuiweka hapa?
Na kumbuka, anayetuhumiwa hapa ni Mama Anna Tibaijuka. Si wewe. Si Wizara ya Ardhi. Aliyepokea fedha kutoka kwa James Rugemalira ni Anna Tibaijuka. Si wewe. Si Wizara ya Ardhi. Kama ni kosa, limefanywa na mtu aitwaye Anna Tibaijuka. Kosa halikufanywa na Wizara ya Ardhi au Waziri wa Ardhi. Na kama ni kushtakiwa, atashtakiwa Anna Tibaijuka. Hatoshtakiwa Waziri wa Ardhi au Wizara ya Ardhi.
Ni nini kinakufanya uhusishe maovu ya huyu mama na Wizara ya Ardhi? Wizara ya Ardhi ni taasisi. Anna Tibaijuka ni individual.
Na kosa hapa ni rushwa, bila kujali hizo pesa zilitoka kwenye akaunti ya escrow au la. Je kama pesa hazikutoka kwenye akaunti ya escrow, ina maana tuhuma za rushwa zinalomkabili zitafutika? Je, mimi nikutuhumiwa kukupa rushwa wewe, tuhuma hizo zitafutika ikigundulika kuwa pesa nilizokuhonga nilizipata kwa njia halali?
Mkuu,JK alisema huwezi kuamka tu asubuhi ukakuta fedha zimejaa kwenye akaunti yako. Zimetoka wapi? Zimeshuka kutoka mbinguni? Na JK aliyasema haya baada ya kuzungumza na Bodi ya Shule anayoingoza (anayoimiliki?) Tibaijuka, akiwemo Mzee Rupia. Mazingira ya rushwa ni dhahiri, na kukiukwa kwa maadili ya viongozi ni dhahiri. Sasa, anayeweza kuamua kama huyu mama ana hatia au la ni mahakama. Si wewe, wala mimi. Alipewa rushwa kwa kazi ipi, huyu mama ataileza mahakama wakati ukifika. Ripoti ya CAG haijamtaja popote haina maana kuwa Mama Tibaijuka hakupokea rushwa. Na wala si kazi ya CAG kuchunguza mashauri ya rushwa. Ripoti ya TAKUKURU unayosema haimtaji huyu mama kupokea rushwa umeiona? Unaweza kuiweka hapa?
Na kumbuka, anayetuhumiwa hapa ni Mama Anna Tibaijuka. Si wewe. Si Wizara ya Ardhi. Aliyepokea fedha kutoka kwa James Rugemalira ni Anna Tibaijuka. Si wewe. Si Wizara ya Ardhi. Kama ni kosa, limefanywa na mtu aitwaye Anna Tibaijuka. Kosa halikufanywa na Wizara ya Ardhi au Waziri wa Ardhi. Na kama ni kushtakiwa, atashtakiwa Anna Tibaijuka. Hatoshtakiwa Waziri wa Ardhi au Wizara ya Ardhi.
Ni nini kinakufanya uhusishe maovu ya huyu mama na Wizara ya Ardhi? Wizara ya Ardhi ni taasisi. Anna Tibaijuka ni individual.
Na kosa hapa ni rushwa, bila kujali hizo pesa zilitoka kwenye akaunti ya escrow au la. Je kama pesa hazikutoka kwenye akaunti ya escrow, ina maana tuhuma za rushwa zinalomkabili zitafutika? Je, mimi nikutuhumiwa kukupa rushwa wewe, tuhuma hizo zitafutika ikigundulika kuwa pesa nilizokuhonga nilizipata kwa njia halali?
so agenda ya kutafutia kura ni kupakazia watu wizi?
nayo itagonga mwamba vilevile
Wazimu unaumwa wewe na huyo mwehu mwenzako Kubenea
Mimi nilichosema ni kua kama haya madudu yangefanyika kwenye taasisi iliyo chini ya wizara ya aridhi nisingemtoa moja kwa moja katika hili. Kinacholeta wasi wasi ni waziri mwenye dhamana na nishati kubaki msafi kwenye escrow na waziri wa aridhi akawa mchafu kwenye escrow hiyo hiyo labda kama Tanesco watakua chini ya wizara ya aridhi. Watanzania hatuwezi kuwa wajinga kiasi hicho cha kuangalia usafi wa mtu kwa kuangalia uchafu wa mwingine.
Unajua wahaya ni wasomi wastaarabu,pia wakwele ni kama ka kijiji kachovu huko huayani,hapo ni sawa na mende kuangusha kabati.
Lakini kwa kashifa ya huyu mama na maneno yake ya nyodo wahaya wamemwacha azame dimbwini.
hawa wezi wenzako tunataka wapelekwe mahakamani wote.Wahumiwa.......ndiyo kitu gani hovyo.
kwani tiba katolewa kwa nini.? Suala la escrow au kwenda kinyume na maadili ya kazi.?Kwani anayewapeleka Mahakamani ni JK? Na je wanaopelekwa mahakamani ni wanufaika wote wa escrow au wale maafisa wa serikali walioenda kinyume na maadili ya kazi zao?
kwani tiba katolewa kwa nini.? Suala la escrow au kwenda kinyume na maadili ya kazi.?
..za alinacha hizo....sisi kina gogo la shamba tulishasema kwamba,maadam Kikwete alipuuza mawazo tuliyompa hawezi tena kuepuka kikombe hicho,yeye na familia yake yote,aelewe kwamba mwisho wa maisha yake hayato kuwa tofauti na Sadam au Gadafi karata yake moja iliyobaki ni
1. kuamuru kutoka kinywani kwake kwamba wale wote waliotoa na waliopewa fedha za Escrow wazirudishe na baadae mahakamani
2.Nyumba zote za uma zirudishe
3.shule bure
Wanasheria mje mtusaidie..hili suala la mtoaji na mpokeaji rushwa liko vipi?Au Rugemalira ali act kama AGENT wa PCCB kuwatembezea za moto kina Tiba?
Alijiweka mbali nao vipi wakati alifanya nao kazi. Shida yako ni kuwa unaugua ugonjwa wa ukabila ambao kwa kitaalamu unafahamika kama ufashisiti kama aliokuwa nao Hitler na Mussolini. Wahi Milembe upate tiba haraka kwani wewe ni Interahamwe!