Escrow: Kilaini, Ngeleja, Tibaijuka, Naiko kila mtu anena lake. Wengine hawajui wamrudishie nani

Mnooooo! Yaani kupita kiasi mkuu. Hivi ni mtu wa Asili ya Kabila gani huyu Askofu?
Hata huyu mama Tibaijuka nilimuheshimu sana kitaaluma na uwezo wake enzi alipokuwa UN-Habitat....amejivua nguo zote pale askari monument kwa hili sakata la Escrow. Amebaki kuhamasisha watu wapanue ili wengine wazidi kutamani! Pathetic.
Amedhalilisha sana Wanawake wasomi na wenye ndoto za uongozi.
unajua misemo yote yenye ukakasi kama vile inaanzia chama dola. Mwingine alisema watazitoa kwenye tundu lolote lilowazi kwa kadri inavyowezekana.

Huyu kaja na panua watu watokwe na mate
 
Jamani kwani muumini akitoa fungu la kumi kuna shida?? Kilaini hana kosa yeye alipokea sadaka toka kwa muumini wake.
 
Sasa mkuu, Askofu angekataaje pesa toka kwa muumini wake ambaye amekuwa mtoaji mzuri wa matoleo. Askofu angejuaje kama hizo pesa ni za wizi na yeye hakuwahi kuwa kiongozi wa kisiasa? Amejibu vizuri sana kuwa azirejeshe wapi kwani aliyempa hajamwambia amrudishie na yeye anajua ni za Ruge. Pia Ruge amekuwa na pesa kwa miaka mingi so kumpa Askofu hela ya kusaidia si suala la kumshtua Askofu.
Maneno mazuri na hoja lukuki kwa mtu unayempenda

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Jamani kwani muumini akitoa fungu la kumi kuna shida?? Kilaini hana kosa yeye alipokea sadaka toka kwa muumini wake.
Kwaiyo sadaka zinakaa mfukoni mwa askofu?maana cjui anavyotaka kuzirudisha anazitoa wapi?
 
HII EPISODE NGOJA TUONE ITAISHIA SEASON YA NGAPI! KM WAMEAMBIZANA KUZIRUDISHA KM ENZI YA MSHUA JK ILI WASAMEHEWE!! MBUNGE WA CHAMA TAPHALA KBS ANYEE NDOO!! WASUKUMA WANASEMA "LAUDAA"! BADALA YA LABDA!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Akilazimishwa kuzirudisha tutamchangia tu, ni askofu wetu. Maaskofu wetu wanaishi ndani ya jamii ya waumini na wanategemezwa na waumini wao, akiwemo huyo James Rugemalila. Askofu wa kikatoliki hana familia binafsi inayoweza kufaidika na chochote anachopewa, familia yake ni sisi waumini, na nina uhakika fedha hizo alizitumia kwa manufaa ya kanisa kwani hana pengine pa kuzipeleka. Akidaiwa tutazichanga kanisani tumpe akarudishe.
Well said
 
Sasa mkuu, Askofu angekataaje pesa toka kwa muumini wake ambaye amekuwa mtoaji mzuri wa matoleo. Askofu angejuaje kama hizo pesa ni za wizi na yeye hakuwahi kuwa kiongozi wa kisiasa? Amejibu vizuri sana kuwa azirejeshe wapi kwani aliyempa hajamwambia amrudishie na yeye anajua ni za Ruge. Pia Ruge amekuwa na pesa kwa miaka mingi so kumpa Askofu hela ya kusaidia si suala la kumshtua Askofu.
Hizo pesa hazikuingia katika akaunti ya kanisa, ziliingia katika akaunti ya askofu.

Sent from my SC-03E using JamiiForums mobile app
 
Wakumkamata yupo ila wa kumfunga hakuna.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app

Kwani hawezi kufungwa hata kibabe tu au asakiziwe kesi ya kulawiti kama Babu Seya

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Kwani walipewa na nani? Wakati wanapewa hawakujua zinatoka kwa nani!! Warejeshe kw mtu aliyewapa. Japo sidhani kama Mtemi Chenge yeye atazirejesha.
Hao wengine wapo kwenye shida je TIARAEI walivochukua ngap toka kwa ngeleja walimuuliza Ni kodi itokanayo na biashara gani?au walichukua Tu kwa vile wanakusanya kodi....kwa kawaida SI mtu analipa kodi kutokana na makusanyo au map to ya biashara??je wao watakwepaje hiki kikombe cha utakatishaji??
 
Wazirudishe, angalau zisaidie miradi ya maendeleo...

AHSANTE SAANA,

RAIS WANGU
ZITTO K.
PHILI KUNJOMBE (R.I.P)
KAFULILA D.
KIGWANGALLA H.

KINANA NA KIJANA WAKE NAPE..

NA WENGINE WALIOSHIRIKI KUPAMBANA
 
Sasa mkuu, Askofu angekataaje pesa toka kwa muumini wake ambaye amekuwa mtoaji mzuri wa matoleo. Askofu angejuaje kama hizo pesa ni za wizi na yeye hakuwahi kuwa kiongozi wa kisiasa? Amejibu vizuri sana kuwa azirejeshe wapi kwani aliyempa hajamwambia amrudishie na yeye anajua ni za Ruge. Pia Ruge amekuwa na pesa kwa miaka mingi so kumpa Askofu hela ya kusaidia si suala la kumshtua Askofu.
That is the trick corrupt people use to have their influence in the church. Soma vizuri namna Askofu Paul Marcinkus, n.a. Iranian Mafia walikuwa wanafanya nini na Vatican bank.

Money laundering has been a huge problem for the church's bank because of the same story....mimi Askofu sikujua kama hizi hela hazina matatizo.

Namna nzuri ya kutoa sadaka sio kuweka hela kwenye personal bank account ya kiongozi wa kanisa. After all waumini wanawajibika kuwatunza viongozi hao. Kwanini awape maaskofu wawili to kati ya makumi waliokuwepo?

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom