Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 561
Am going to check it right now...Washikaji wanapelekwa jela kwasababu ya harakati zaonza kutetea watu weusi huyo mwamba mmoja anafikiria namna ya kutoroka katika gereza hilo lililo South Africa gereza la watu weupe mwamba anakwambia nimefikiria njia zaidi ya 100 ya kuroka humu lakini hakapata njia ya kutumia ufunguo wa mbao.
Hili dude ni shida moja ya movie zangu bora kwa muda wote.
Based in true storyNinayo kwa phone hii kitu
Nlipenda pale mwishomwisho yule askari wa juu hakuwaona
Ngoma tamu pale wanapita ile barabara ya vumbi na vicheko vya kibabe.
akili tu humo ngumi hakunaNinayo kwa phone hii kitu
Nlipenda pale mwishomwisho yule askari wa juu hakuwaona
Ngoma tamu pale wanapita ile barabara ya vumbi na vicheko vya kibabe.
akili tu humo ngumi hakuna
Iko poa sanaakili tu humo ngumi hakuna
Mimi ndio nauoma huu uzi nimetamani niitafute mbona unanikatisha tamaaHii Movie mbona hamna kitu kabisa.
Ilinibidi nikaitafute baada ya kuona huu uzi wako.
Movie mbaya kinoma.
3.5/10 .
Mkuu hii movie ya kawaida kwa upande wangu.Wakuu hii movie mashine au chenga nipotezee
Mkuu hii movie ya kawaida kwa upande wangu.Wakuu hii movie mashine au chenga nipotezee
Iko vizuri nimeicheki!Washikaji wanapelekwa jela kwasababu ya harakati zaonza kutetea watu weusi huyo mwamba mmoja anafikiria namna ya kutoroka katika gereza hilo lililo South Africa gereza la watu weupe mwamba anakwambia nimefikiria njia zaidi ya 100 ya kuroka humu lakini hakapata njia ya kutumia ufunguo wa mbao.
Hili dude ni shida moja ya movie zangu bora kwa muda wote.
[emoji106]Mkuu hii movie ya kawaida kwa upande wangu.
Haina zile amsha amsha kama jina lake linavosadifu.
Itafute utakuja kuamini maneno yangu .
AhahahahahHii Movie mbona hamna kitu kabisa.
Ilinibidi nikaitafute baada ya kuona huu uzi wako.
Movie mbaya kinoma.
3.5/10 .