einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,684
- Thread starter
-
- #161
It is THEORY not FACT
Mi nataka nieleweshwe kisayansi, how can something come out of nothing?
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
!
Nyani utajuaje utakatifu wakati mamlaka ya utakatifu unaipinga ??
wewe nyani ngwengwe asili ya binadamu ni ipi ?
hawawezi kukueleza. This factual ability is owned by the Lord Creator of Heaven and Earth.Mi nataka nieleweshwe kisayansi, how can something come out of nothing?
Kijana hakuna ugonjwa usio na tiba duniani
thus why i said that,total story of creation as described by genesis is quite tale
kitu cha kwanza kilichokuwepo kabla ya uumbaji ni maji,lakini maji yaliuumbwa siku ya ngapi kama vyote viliumbwa ndani ya siku saba?
nirudi kwenye swali lako,hakuna sehemu yoyote katika biblia inayosema kuwa Mungu aliuumba udongo.labda wakristo watujuze
Really?hahahaa.
you must have been born on high way because that's where most accident occur
you are right,I don't know everything because I'm not omniscient being,but I've bulk quantinty of knowledge more than yours from secondary school
we don't bother your religion foundation,you can take it or leave it,but we don't care
and which blogs contain this stuff ?can you mention it?
'Na roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji', hapo kabla ya uumbaji, ina maana Mungu aliyakuta maji, juu ya nini?? Dunia au universe?
Ila yote juu ya yote, biblia ina maswali mengi ambayo majibu yake si msaada sana juu ya maisha yangu!
It is THEORY not FACT
The word "genesis" itself is rooted in erroneous thinking, caught up in causation, which is an illusion of the universe at a large scale and not real at quantum scales.
leta dawa ya ukimwi tupge hela basi
Theory ya einstein imekuwa debunked mara mingi hata na a famous hungarian born American scientist and inventor Nicola Tesla. Light travells in a straight line is not true as light can bend as nothing escapes strong gravity.mkuu huu ni ulimbukeni wa kutaka kujifanya huko tofauti na watu. Darwin hajafanikiwa katika chochote alichokisema.
Hata einstain anayemuamini Theory yake ya speed of light imekuwa proved wrong juzi tu.
Cha ajabu mambo ya Mungu ya Imani Hadi kesho akitaka yeye au sasa hivi hapo alipo anaweza kufanyiwa vitu akawa mdogo.
mkuu magonjwa yote yakimalizwa je watengezaji madawa watatoa wapi hela? Kabla hujaropokwa fikiri kwanza na kuuliza swali si ujinga.
Theory ya einstein imekuwa debunked mara mingi hata na a famous hungarian born American scientist and inventor Nicola Tesla. Light travells in a straight line is not true as light can bend as nothing escapes strong gravity.
Nothing can exceed the speed of light is also not true, Nicola Tesla proved electricity is 157% speed of light but you need to seek knowledge not through that "holy book" since the answers are outside that book.
As long as we have this mind control through the "book" there will never be a cure.teh teh teh
they guess that there is no cure for HIV&AIDS yet,so they regard this situation as one of big weakness of medical science and science in general.
Perhaps they don't know even conspiracy behind HIV&AIDS
Soma Mithali 8: 23 -27
Kabla hajaumba dunia, kabla hajaumba mavumbi...kabla hajafanya vilindi vya maji ...
Really?
You don't bother.....nor care?
What are you doing here then?