wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
that gay is so jealousy!!!
by the way,nimechagua basic knowledge kama hiyo ili kila mtu aweze kuelewa nini ninachozungumzia.
sasa mtu anakuja kukuorodheshea list ya masomo aliyosoma,hayo yote ya nini?
NB:guy not gay
I'm not scientist as you think,but it just delusion of your ignorance
I chose basic knowlegde like this one,so as anyone can understand my point of view
your irrational argument harmony with your own name,mr "null"
Yeye wala hakujifanya mwanasayansi huo ni mtazamo wako tu uliotokana na either wivu au panic, kama unajua kama anaongelea vitu vya kawaida mbona badala ya kujibu hoja unakaa kumjadili mpaka avatar yake? Smh
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
Hehehe go back and read what he said, umebase sana kwenye negativity towards me, siwezi kupanic na wala sina wivu kwa kua mleta mada hakuna chochote kile alicho above me.
Just another ignorant, stop wasting my time. Go read a book.
Don't talk about my name dude, hujui "nullpointer" ni nini, sio null kama unavofikiri, ndo maana nakwambia you don't know everything. Call me ignorant but that doesn't make you any less ignorant. Unasoma maneno mawili matatu kwenye vijiblog vya hapa na pale unakuja kujifanya unajua biblia ina maana gani na kuanza critics zako za ovyo. No one is forcing you to read the book, you atheists really like to get into some other people's businesses. Cant u just accept the fact that religion is there as part of people's lives! if it aint part of your life then live with that, why would it bother you that much?
Hakuna chochote kile alicho above me" hapa ndo tatizo lilipo.
Sijabase upande wowote ule. Muone Psychologist tu mkuu maana hakuna namna.
Jimena,watu kama hao reply moja tu inawatosha then you move on.
ushawahi kujiuuliza kwanini sauti za wachungaji zimekauka?..ni kwasababu ya ubishi
na ubishi kama huo ndiyo wanaorithishwa O-level dropout kama huyo
mtu anajiita "null" halafu bado povu linamtoka
Kuna nyani hapa limevaa nguo linaandika utumbo
Swali rahisi aliyepanga hivi vitu humu ulimwenguni na kuwa katika order unayoitetea ni nani ?
you are absolutely right bro.
mistake cannot justfy the mistake,sasa mtu anakwambia kuwa chanzo cha mwanga ni mwanakondoo...absurd
mtu hana huelewe hata na maxwell's equation halafu bado analeta ubishi usio na tija
Mtoto wa kondoo ndio chanzo cha mwanga 😀
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
huo ni mtazamo wako finyu wa kibinadamu.
mkuu bora umekuja,hawa wakristo wa jumapili wanaumiza kichwa sana!
Kwani wao ndio waandishi? mtafute mwandishi wa kitabu cha mwanzo akufafanulie yeye mwenyewe
I'm ape,your right,because your biological make up envolved from me
but you are still failed abortion whose birth certificate is an apology from condom factory!
shame on you mrs!!