Error zinazojitokeza wakati wa ku install games

Error zinazojitokeza wakati wa ku install games

dah we acha tu kama mm napenda xana game za assassin creed. nilidownload assassin creed tu. nimefika level flani likagoma na likafuta data zote. ikabidi nianze upya. sasa hivi ndo linazingua mwanzo mwisho sichezi hata nusu saa linastack. computa inajizima. na mbaya zaidi sometime linafuta data tena naanza upya. gpu yake 256mb. me compyuta yangu ina 128mb.

cjui hata nifanyaje
Ndio hivyo mkuu.... Mi sikununuaga pc hadi nilipopata mkwanja wa maana ndio nikavuta pc... Nacheza game kubwa zote kweny setting za ultra (game inakua clean hadi basi)... Jichange upate hata 700 tu utapata mashine amazing kwa washkaji.
 
hata 700 tu utapata mashine amazing kwa washkaj
ina mana hata mia tano (500) sipati mashine nzur mwana. unajua napenda pc coz ina mambo mengi pia. sio kama playstion game cd zenyewe tu bei kixenzi.
 
ina mana hata mia tano (500) sipati mashine nzur mwana. unajua napenda pc coz ina mambo mengi pia. sio kama playstion game cd zenyewe tu bei kixenzi.
Unapata sema ukishataka mashine yenye card tu... Ndio shida inaanza hapo... Utasaka sana.... Ila ukijipinda kuna jamaa alikua na i3 ina gpu nzur tu... 2gb za nvidia kwa 600 tu
 
Kwa wale wajuzi wa na wapenzi wa PC games, mtakuwa mnajua kuwa kuingiza game kwenye pc wakati mwingine inasumbua ikiwa ni pamoja na kuleta baadhi ya maneno wakati wa kufungua au kuingiza game, mfano
d3d9_dll is missing
Engine error
Fatal error
Direct missing
Could not load library client, nk
Sasa kwa wale wajuzi tunaomba kushare ujuzi wenu ili na sisi wengine ambao ni wapenzi wa PC games tuweze kufaidi uhondo huu.
Natanguliza shukrani
.
Mkuu kama wewe ni mpenda magemu usipate shida siku hizi kuna console nyingi za magemu
Mimi nakushauri ununue PS3 kiasi ambacho ni laki 3 had 3 na nusu (kwa MTU) ukisha nunua hapo utakua una uhakika was kucheza games kwa asilimia 100% kama
GTA 5 100%
Pes 16 .100%
Last of us 100%.
 
Back
Top Bottom