ERROR CODE 0x80070017

ERROR CODE 0x80070017

Supu ya Kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
5,283
Reaction score
9,609
salamu wadau

najaribu kuinstall window 7 kwenye dektop yang but ikifika ile hatua karibu na kumalizia inaniandikia
"window cannot install required files. the file may be corrupt or missing. make sure all files required for instalation are available and restart the installation. error code 0x80070017"

pls wadau naomben msaada
 
error kama hizo mara nyingi zinasababishwa na CD/HDD
kama unatumia CD badilisha hiyo CD tafuta nyingine, kama unatumia Flash basi tafuta Image nyingine. kama tatizo linajirudia basi shida ni harddisk ya machine yako.
 
so kama shida ni hard disk nn kifanyike mkuu
1. je ni kununua nyingne
AU
2.ni kuiformat
 
Mkuu hiyo ilinikuta wakati naipiga windows 7 kwenye PC... Nikabadili image nyingine ya 7 bado nikakutana na error hiyo hiyo. Halafu sijajua ni kwa nini kwenye DELL ndo wanaexperience hiyo kitu. Sijakutana na hp, Toshiba, Asus au brand nyingine ya kukutana na error hiyo.

Sasa jaribu kuchange OS hiyo... Tumia windows 8... Au kama ni 7 tumia 32-bit inaweza ikawork.

All the best.
 
Back
Top Bottom