error 502 Gateway Problem

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,090
Ni siku 2 sasa kila ikifika jioni mtandao wa Jamii Forum unakumbwa na hii k2 je? Nini naomba wataalam watujuze
 
nafkiri,ni matatizo yaliyopo kwenye server tu. Au network,Unapo design webpage ambayo itahusisha interaction za watu wengi,lazma uimarishe vitu,vingi ile iweze kustahimili.
 
nafkiri,ni matatizo yaliyopo kwenye server tu. Au network,Unapo design webpage ambayo itahusisha interaction za watu wengi,lazma uimarishe vitu,vingi ile iweze kustahimili.
Leo imejirudia ina maana server ya JF imezidiwa. Maana kila jioni huipati JF wakati nyingine km yahoo, Facebook, Google zipo
Nasi km ni Server tuhimizane ile michango
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom