Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,101
- 51,261
ni mtumwa wa kiimani huyo asyejua kwamba ukoloni haungekuwepo bila muunganiko wa huo unaoitwa ukristo.rip che
naona ideas za sigmund freud zinakuchanganya, hakuna suluhisho la mahitaji ya binadamu zaidi ya dini, kila tatizi lako wewe kama binadamu, ukikosa ufumbuzi wa kisayansi lazima urudi kwenye dini, dini ndio msingi wa maisha ya binadamu, haziwezi kufutika kwa sentensi zako mbili