Ernesto Che Guevara

Ernesto Che Guevara

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
3,140
Reaction score
2,269
rest in peace bro.
 
Attachments

  • commender che1.jpg
    commender che1.jpg
    110.3 KB · Views: 322
  • che-guevara-and-fidel-che-guevara-18854312-480-320.jpg
    che-guevara-and-fidel-che-guevara-18854312-480-320.jpg
    21.9 KB · Views: 308
  • captured che.JPG
    captured che.JPG
    21 KB · Views: 293
  • 785314_1328232971293_353_480.jpg
    785314_1328232971293_353_480.jpg
    19.2 KB · Views: 264
  • Che Body Bolivia.jpg
    Che Body Bolivia.jpg
    33.6 KB · Views: 295
ulikua shupavu bro
 
Attachments

  • AlbertoKorda-Che-01-DateUnknown.jpg
    AlbertoKorda-Che-01-DateUnknown.jpg
    358.1 KB · Views: 229
  • AlbertoKorda-Che-03-DateUnknown.jpg
    AlbertoKorda-Che-03-DateUnknown.jpg
    218.5 KB · Views: 202
  • AlbertoKorda-Che-05-DateUnknown.jpg
    AlbertoKorda-Che-05-DateUnknown.jpg
    144.5 KB · Views: 194
  • AlbertoKorda-Che-04-DateUnknown.jpg
    AlbertoKorda-Che-04-DateUnknown.jpg
    190.2 KB · Views: 231
  • _66336448_c041.jpg
    _66336448_c041.jpg
    1.5 KB · Views: 651
sasa naamini wema hawadumu
 
Attachments

  • che driving a tractor.jpg
    che driving a tractor.jpg
    48.8 KB · Views: 341
  • che and raul castro.jpg
    che and raul castro.jpg
    47.1 KB · Views: 160
  • Che_on_Mule_in_Las_Villas_Nov_1958.jpg
    Che_on_Mule_in_Las_Villas_Nov_1958.jpg
    29.4 KB · Views: 176
  • che_01R.JPG
    che_01R.JPG
    15.2 KB · Views: 159
  • che the monster.jpg
    che the monster.jpg
    68.5 KB · Views: 183
  • ernesto1.jpg
    ernesto1.jpg
    15.7 KB · Views: 149
  • che in santa clara in 1958.jpg
    che in santa clara in 1958.jpg
    48.6 KB · Views: 154
  • AlbertoKorda-Fidel-Golfing-1959.jpg
    AlbertoKorda-Fidel-Golfing-1959.jpg
    53.5 KB · Views: 158
  • AlbertoKorda-Guerrillero-Heroico-V1-1960.jpg
    AlbertoKorda-Guerrillero-Heroico-V1-1960.jpg
    388 KB · Views: 170
watu wabaya wakakuua
 
Attachments

  • Che_Guevara_executed.jpg
    Che_Guevara_executed.jpg
    22.8 KB · Views: 176
  • dead che.jpg
    dead che.jpg
    29.4 KB · Views: 171
  • che and kwame.jpg
    che and kwame.jpg
    34.5 KB · Views: 151
  • fidel-and-che-che-guevara-21468855-500-430.jpg
    fidel-and-che-che-guevara-21468855-500-430.jpg
    28.6 KB · Views: 158
Che Ernesto Guevara De la Sena. Mzaliwa wa Algentina. Tofauti kati ya yeye na shetani ni kuwa shetani humuoni ila Che unamuona! Alihangaika sana nchini mwake kutunga vitabu na kushawishi watu wafute kanisa katoliki na dini ya kikristo isiwepo duniani.chini Agentina. Alifukuzwa Nchini algentina na kukimbilia Cuba.

Nchini CUBA alifanikiwa kumshawishi Castro afute dini ya kikristo baada ya mapinduzi ya mwaka 1949 kumtoa madarakani mzee Batista. Cuba ilifukuza mapadri wote, kufunga seminari,kutaifisha Taasisi zote za kanisa na kuwadiport maaskofu nchi za nje. wale maaskofu waliokataa waliishia kufia jela. castro alifuta pasaka, Xmass , na sherehe zote za kikristo nchini mwake. 90% ya waCuba waliozaliwa baada ya mapinduzi ya 1949 hawajui sala ya baba yetu wala kushika Rozali ingawa wana majina ya kikristo.

Che alikuwa nawaweka watoto wa shule madarsani wakiwa na njaa kwa masaa sita, halafu anawapeleka messini na kuwaaambia ombeni kwa jina mungu ili awaletee chakula. Wakiomba kwa jina mungu walikuwa hawakioni chakula, halafu Che anawaambia tena, ombeni kwa jina la castro na Che, mletewe chakul;a. basi wakiomba kwa jina kastro na Che huona magari ya chakula nje na kuletewa ndani kula. Hivyo ndivyo Che alivyofanya propaganda za jina la mungu lizalaulike nchini mwake.

marekani walimkamata nchini bolivia baada ya ya chizi Castro kumtosa nchini Cuba. Alinyongwa kama mbwa kichaa na mpaka hivi leo kaburi lake halijulikani lilipo. Hii yote ilikuwa adhabu ya kutaka kuifuta dini ya kikristo duniani kote.

Hapa africa miChizi mingine iitwalo Lumumba, samora na neto walikuwa na lengo hilo hilo la kufuta christianity Nchini mwao. Lumumba alikiona cha moto kutoka kwa Shujaa Moses Tshombe. Kule Msumbiji Samora alikamiwa vibaya sana na shuijaa Alfonso Drakama Na angola Neto alibanwa na savimbi. Ni ukweli kabisaa, Alfonso Drakama, Moses Tshombe , Joseph Kasavumbu na Savimbi walisimama kidedea kuikomboa dini ya kikristo isiangamie nchini mwao kutoka katika makucha ya mafashisti, mashetani ,maumbwa ya kikomunisti yaliotaka kuzima jina la mungu na Kristo hapa africa.

Kwa mkristo: ukisikia Jina la Che Guevara lilaani kama vile ulaanivyo shetani.
 
Duuuh! no comment nangoja hoja za wahistoria
 
mkuu acha kuongea vitu visivyoeleweka, che hakufukuzwa argentina, aliondoka mwenyewe kwenda mexico kufanya kazi ya udaktari, huko ndiko alikokutana na castro ambaye kwa wakati huo alikua emetoroka jela.

-kuhusu mapinduzi ya cuba yalifanyika mwaka 1959 na sio 1949 kama unavyodai
-kuhusu ukristo, yakupasa ukumbuke kuwa ni nyenzo tu ya mabeberu
-kuhusu mwili wake, ni kwamba ulipatikana mwaka 1997 na amezikwa pale cuba, si kweli kwamba kaburi lake halijulikani

Che Ernesto Guevara De la Sena. Mzaliwa wa Algentina. Tofauti kati ya yeye na shetani ni kuwa shetani humuoni ila Che unamuona! Alihangaika sana nchini mwake kutunga vitabu na kushawishi watu wafute kanisa katoliki na dini ya kikristo isiwepo duniani.chini Agentina. Alifukuzwa Nchini algentina na kukimbilia Cuba.

Nchini CUBA alifanikiwa kumshawishi Castro afute dini ya kikristo baada ya mapinduzi ya mwaka 1949 kumtoa madarakani mzee Batista. Cuba ilifukuza mapadri wote, kufunga seminari,kutaifisha Taasisi zote za kanisa na kuwadiport maaskofu nchi za nje. wale maaskofu waliokataa waliishia kufia jela. castro alifuta pasaka, Xmass , na sherehe zote za kikristo nchini mwake. 90% ya waCuba waliozaliwa baada ya mapinduzi ya 1949 hawajui sala ya baba yetu wala kushika Rozali ingawa wana majina ya kikristo.

Che alikuwa nawaweka watoto wa shule madarsani wakiwa na njaa kwa masaa sita, halafu anawapeleka messini na kuwaaambia ombeni kwa jina mungu ili awaletee chakula. Wakiomba kwa jina mungu walikuwa hawakioni chakula, halafu Che anawaambia tena, ombeni kwa jina la castro na Che, mletewe chakul;a. basi wakiomba kwa jina kastro na Che huona magari ya chakula nje na kuletewa ndani kula. Hivyo ndivyo Che alivyofanya propaganda za jina la mungu lizalaulike nchini mwake.

marekani walimkamata nchini bolivia baada ya ya chizi Castro kumtosa nchini Cuba. Alinyongwa kama mbwa kichaa na mpaka hivi leo kaburi lake halijulikani lilipo. Hii yote ilikuwa adhabu ya kutaka kuifuta dini ya kikristo duniani kote.

Hapa africa miChizi mingine iitwalo Lumumba, samora na neto walikuwa na lengo hilo hilo la kufuta christianity Nchini mwao. Lumumba alikiona cha moto kutoka kwa Shujaa Moses Tshombe. Kule Msumbiji Samora alikamiwa vibaya sana na shuijaa Alfonso Drakama Na angola Neto alibanwa na savimbi. Ni ukweli kabisaa, Alfonso Drakama, Moses Tshombe , Joseph Kasavumbu na Savimbi walisimama kidedea kuikomboa dini ya kikristo isiangamie nchini mwao kutoka katika makucha ya mafashisti, mashetani ,maumbwa ya kikomunisti yaliotaka kuzima jina la mungu na Kristo hapa africa.

Kwa mkristo: ukisikia Jina la Che Guevara lilaani kama vile ulaanivyo shetani.
 
ukitaka kuitwa majina yote mabaya humu duniani pingana na nchi za magharibi,hususani Marekani na uingereza.

Majina kama dikteta, gaidi, wa/mwasina kila aina ya uchafu utapewa tu kama utakuwa unapingana na matakwa ya nchi za magharibi. Eti Che alikuwa gaidi! Kwa kuwa tu alimsaidia Castro kumtoa dikteta batitsa madarakani ambaye alikuwa ni kibaraka wa marekani. Mtu kama Mugabe eti ni dikteta! Kisa haelewani na uingereza. Iddi Amin walimwita majina yote mabaya.

Vyombo vyao vya propaganda ni BBC, CNN. Ambayo kazi yake ni kukuchafua kama utakuwa against wao. Kundi kama hamas la palestina, waliliita la kigaidi, lakini wananchi au raia wa kipalestina waliwapa kura katika uchaguzi katika miaka kadhaa iliyo pita.

Hayo uliyoandika kumhusu che ni propaganda chafu na chuki dhidi ya mwanamapinduzi huyo wa kweli. Che atabaki kuwa alama ya wanamapinduzi na ni mmoja kati ya watu mashuhuri/maarufu aliyeishi karne iliyopita
 
Kabla ya 1959 , Cuba ilikuwa ni danguro la wa wamarekani. Baada ya 1959 Cuba ikawa ni nchi ya wasomi na inayo heshimiwa pamoja na vikwazo vya kila aina.
 
Che Ernesto Guevara De la Sena. Mzaliwa wa Algentina. Tofauti kati ya yeye na shetani ni kuwa shetani humuoni ila Che unamuona! Alihangaika sana nchini mwake kutunga vitabu na kushawishi watu wafute kanisa katoliki na dini ya kikristo isiwepo duniani.chini Agentina. Alifukuzwa Nchini algentina na kukimbilia Cuba.
Nchini CUBA alifanikiwa kumshawishi Castro afute dini ya kikristo baada ya mapinduzi ya mwaka 1949 kumtoa madarakani mzee Batista. Cuba ilifukuza mapadri wote, kufunga seminari,kutaifisha Taasisi zote za kanisa na kuwadiport maaskofu nchi za nje. wale maaskofu waliokataa waliishia kufia jela. castro alifuta pasaka, Xmass , na sherehe zote za kikristo nchini mwake. 90% ya waCuba waliozaliwa baada ya mapinduzi ya 1949 hawajui sala ya baba yetu wala kushika Rozali ingawa wana majina ya kikrist

Che alikuwa nawaweka watoto wa shule madarsani wakiwa na njaa kwa masaa sita, halafu anawapeleka messini na kuwaaambia ombeni kwa jina mungu ili awaletee chakula. Wakiomba kwa jina mungu walikuwa hawakioni chakula, halafu Che anawaambia tena, ombeni kwa jina la castro na Che, mletewe chakul;a. basi wakiomba kwa jina kastro na
Che huona magari ya chakula nje na kuletewa ndani kula. Hivyo ndivyo Che alivyofanya propaganda za jina la mungu lizalaulike nchini mwake.

marekani walimkamata nchini bolivia baada ya ya chizi Castro kumtosa nchini Cuba. Alinyongwa kama mbwa kichaa na mpaka hivi leo kaburi lake halijulikani lilipo. Hii

yote ilikuwa adhabu ya kutaka kuifuta dini ya kikristo duniani kote.

Hapa africa miChizi mingine iitwalo Lumumba, samora na neto walikuwa na lengo hilo hilo la kufuta christianity Nchini mwao. Lumumba alikiona cha moto kutoka kwa Shujaa Moses Tshombe. Kule Msumbiji Samora alikamiwa vibaya sana na shuijaa Alfonso Drakama Na angola Neto alibanwa

na savimbi. Ni ukweli kabisaa, Alfonso Drakama, Moses Tshombe , Joseph Kasavumbu na Savimbi walisimama kidedea kuikomboa dini ya kikristo isiangamie nchini mwao kutoka katika makucha ya mafashisti, mashetani ,maumbwa ya kikomunisti yaliotaka kuzima jina la mungu na Kristo hapa africa.

Kwa mkristo: ukisikia Jina la Che Guevara lilaani kama vile ulaanivyo shetani.

Huyu jamaa, wala tusiende mbali, kwa jinsi anavyomsifia Jonas Savimbi, kibaraka Moise Tshombe na wauaji wengine walioua wana wa Afrika kwa maelekezo ya mabwana zao wa kimarekani, na kuwapinga wanamapinduzi na wakombozi wa bara la Afrika kina Patrice Lumumba, Samora Machel, Augostinho Neto (amesahau tu kumponda Nelson Mandela na Julius Nyerere au ameona aibu) kwani hao walifanya kazi hapa Africa kama alizofanya Che Guevara kule America ya kusini na kwingineko duniani. Che hakujishughulisha na masuala ya Kidini, alikuwa akipambana na mabeberu wa kimarekani na wenzake.
 
che ernesto guevara de la sena. Mzaliwa wa algentina. Tofauti kati ya yeye na shetani ni kuwa shetani humuoni ila che unamuona! Alihangaika sana nchini mwake kutunga vitabu na kushawishi watu wafute kanisa katoliki na dini ya kikristo isiwepo duniani.chini agentina. Alifukuzwa nchini algentina na kukimbilia cuba.

Nchini cuba alifanikiwa kumshawishi castro afute dini ya kikristo baada ya mapinduzi ya mwaka 1949 kumtoa madarakani mzee batista. Cuba ilifukuza mapadri wote, kufunga seminari,kutaifisha taasisi zote za kanisa na kuwadiport maaskofu nchi za nje. Wale maaskofu waliokataa waliishia kufia jela. Castro alifuta pasaka, xmass , na sherehe zote za kikristo nchini mwake. 90% ya wacuba waliozaliwa baada ya mapinduzi ya 1949 hawajui sala ya baba yetu wala kushika rozali ingawa wana majina ya kikristo.

Che alikuwa nawaweka watoto wa shule madarsani wakiwa na njaa kwa masaa sita, halafu anawapeleka messini na kuwaaambia ombeni kwa jina mungu ili awaletee chakula. Wakiomba kwa jina mungu walikuwa hawakioni chakula, halafu che anawaambia tena, ombeni kwa jina la castro na che, mletewe chakul;a. Basi wakiomba kwa jina kastro na che huona magari ya chakula nje na kuletewa ndani kula. Hivyo ndivyo che alivyofanya propaganda za jina la mungu lizalaulike nchini mwake.

Marekani walimkamata nchini bolivia baada ya ya chizi castro kumtosa nchini cuba. Alinyongwa kama mbwa kichaa na mpaka hivi leo kaburi lake halijulikani lilipo. Hii yote ilikuwa adhabu ya kutaka kuifuta dini ya kikristo duniani kote.

Hapa africa michizi mingine iitwalo lumumba, samora na neto walikuwa na lengo hilo hilo la kufuta christianity nchini mwao. Lumumba alikiona cha moto kutoka kwa shujaa moses tshombe. Kule msumbiji samora alikamiwa vibaya sana na shuijaa alfonso drakama na angola neto alibanwa na savimbi. Ni ukweli kabisaa, alfonso drakama, moses tshombe , joseph kasavumbu na savimbi walisimama kidedea kuikomboa dini ya kikristo isiangamie nchini mwao kutoka katika makucha ya mafashisti, mashetani ,maumbwa ya kikomunisti yaliotaka kuzima jina la mungu na kristo hapa africa.

Kwa mkristo: Ukisikia jina la che guevara lilaani kama vile ulaanivyo shetani.
mkuu nashukuru kunifungua macho>
nimeona hapa dar picha yake kwenye magari mengi lakini kila mara najiuliza huyo ni nani sipati jibu>>>>>
 
wewe unayajua mazuri ya Che? soma na mabaya yake. lumumba na che hawana makaburi kwa sababu dhambi zao za kufuata ukomunisti wa kufuta dini!!! tazama hata samora alivyokufa! momunisti ni shetani.
 
ukitaka kuitwa majina yote mabaya humu duniani pingana na nchi za magharibi,hususani Marekani na uingereza.

Majina kama dikteta, gaidi, wa/mwasina kila aina ya uchafu utapewa tu kama utakuwa unapingana na matakwa ya nchi za magharibi. Eti Che alikuwa gaidi! Kwa kuwa tu alimsaidia Castro kumtoa dikteta batitsa madarakani ambaye alikuwa ni kibaraka wa marekani. Mtu kama Mugabe eti ni dikteta! Kisa haelewani na uingereza. Iddi Amin walimwita majina yote mabaya.

Vyombo vyao vya propaganda ni BBC, CNN. Ambayo kazi yake ni kukuchafua kama utakuwa against wao. Kundi kama hamas la palestina, waliliita la kigaidi, lakini wananchi au raia wa kipalestina waliwapa kura katika uchaguzi katika miaka kadhaa iliyo pita.

Hayo uliyoandika kumhusu che ni propaganda chafu na chuki dhidi ya mwanamapinduzi huyo wa kweli. Che atabaki kuwa alama ya wanamapinduzi na ni mmoja kati ya watu mashuhuri/maarufu aliyeishi karne iliyopita
ni mtumwa wa kiimani huyo asyejua kwamba ukoloni haungekuwepo bila muunganiko wa huo unaoitwa ukristo.rip che
 
wewe unayajua mazuri ya Che? soma na mabaya yake. lumumba na che hawana makaburi kwa sababu dhambi zao za kufuata ukomunisti wa kufuta dini!!! tazama hata samora alivyokufa! momunisti ni shetani.
utake usitake dini zitafutika tu.ni suala la muda tu.
 
wewe unayajua mazuri ya Che? soma na mabaya yake. lumumba na che hawana makaburi kwa sababu dhambi zao za kufuata ukomunisti wa kufuta dini!!! tazama hata samora alivyokufa! momunisti ni shetani.

Umevulugwa?
 
SOMA KITABU KIITWACHO remember che

Hicho kitabu lazima kitakuwa kimeandikwa na hao hao mabwana zako, hapo utakuw unategemea nini kama si kuipindisha historia? we lazima utakuwa umevulugwa siyo bure.
 
Too emotional..historia itakuhukumu!
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>
 
Back
Top Bottom