Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,624
Spirit ya malalamiko imejaa bongoland, lakini haizuii maendeleo ya kweli kutafutwa.ukiwa na malaria 1 bado unaumwa hata kama icu kuna mtu hajitambui kwa maradhi,haiponyi maradhi yako
Spirit ya malalamiko imejaa bongoland, lakini haizuii maendeleo ya kweli kutafutwa.ukiwa na malaria 1 bado unaumwa hata kama icu kuna mtu hajitambui kwa maradhi,haiponyi maradhi yako
4 ) Vijana wadogo wanataka kuondoka
''Kupata pasi ya kusafiria ni kama ndoto iliyokuwa kweli,'' anasema kijana mmoja.
Lakini anasema vijana hawapewi pasi za kusafiria mpaka baada ya kufuzu mafunzo ya jeshi.
Nimecheka sana mkuu huo ndio ukweliTanzania majina ya vituo vya televisheni ni mengi lakini taarifa ya habari ni moja kwa vituo vyote.
Mkuu ni warembo kweli ila mila zao za kutoa FGM sijui Kama wameachami nachangamsha tu mjadala. hawa ni wanawake wa ki-eritrea.View attachment 1234372View attachment 1234374View attachment 1234375View attachment 1234376View attachment 1234377View attachment 1234378View attachment 1234380View attachment 1234382
Wamenyimwa elimu wamenyimwa exposure wamedhibiti vyombo vya habari.Mbona atuchekaniHivi inakuwaje mtu mmoja anaweza kuwaburuza mamilioni atakavyo?.Ndio kusema Africa hamnaga wana mapinduzi wa kweli.
Hio misingi ndio imetufikisha kwenye udiktersNi ujinga kuifananisha nyerere na huyo raisi wako wa Eritrea.
Nyerere alijenga misingi ya nchi.
Sio huo upumbavu wako wala kutufananisha na huko
Wanafanana kwa kiasi kikubwa na wakoloni wao Waethiopia. Ethiopia hairuhusuiwi kwa raia kuwa na akaunti ya $ hata kama mwajiri wake analipa kwa $. Na kwa wageni kama watu wanaofanya kazi balozini wanaruhusiwa kutoa kiasi kidogo tu (nadhani US$300 hivi) tu tena baada ya kuonyesha tiketi ya ndege kuwa una safari ya nje ya nchi. Yaani hao Waeritrea wamechukuwa sheria za Waethiopia waliowatawala kama sisi tulivyochukuwa za Waingereza hata baada ya kupata uhuru wetu. Kama maisha yalivyo magumu Eritrea, ndivyo yalivyo magumu Ethiopia. Kama kulivyo na kampuni moja ya simu Eritrea, hivyo hivyo Ethiopia. Kama Waeritrea wanavyokimbia nchi yao, hivyo hivyo Waethiopia.
Watawala Wa Africa ni mzigo kwa dunia wawwezacho kwa bidii ni kuzalisha wakimbizi duniani na propaganda nyingi
Hivi inakuwaje mtu mmoja anaweza kuwaburuza mamilioni atakavyo?.Ndio kusema Africa hamnaga wana mapinduzi wa kweli.
Ni sawa na USA ijiringanishe na SA maajabuTumefikia kujilinganisha na Eritrea?!
Kweli tumerudi nyuma miaka 50.
Nakulilia Tanganyika yangu.
Udikteta uchwara na makamdo uchwara....huko ndo kuna udikteta sasa,,hapa kwetu hakuna udikteta,,ila kuna udikteta uchwara
mi nachangamsha tu mjadala. hawa ni wanawake wa ki-eritrea.View attachment 1234372View attachment 1234374View attachment 1234375View attachment 1234376View attachment 1234377View attachment 1234378View attachment 1234380View attachment 1234382
Nchini Eritrea hakuna mashine za ATM na kadi za simu ni bidhaa adimu
15 Oktoba 2019
Mafunzo ya jeshi ni lazima kwa vijana nchini Eritrea
Eritrea imekuwa ikielezwa kuwa moja kati ya nchi ambazo zinaelezwa kuwa watu wake wanakosa misingi muhimu ya uhuru wa dini na kisiasa.
Suala hili si la ajabu kutokana na kuwepo kwa utawala wa chama kimoja chini ya raisi Isaias Afwerki ambaye amekuwa madarakani tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa Ethiopia mwaka 1993.
Serikali ilipiga marufuku vyama vya upinzani na vyombo vya habari binafsi, pia iliwafunga wakosoaji wa serikali (baadhi ambao hawajasikika kwa miaka sasa) na kuwasajili jeshini vijana wadogo.
Hali hii iliwafanya mamia ya raia wa Eritrea kuikimbia nchi hiyo, Mwandishi wa BBC ameandika namna ambavyo serikali imekuwa ikiyadhibiti maisha ya watu.
1) Kadi za simu ni gharama
Mtandao wa simu unaomilikiwa na serikali, Eri Tel ndio pekee unaotoa huduma za mawasiliano. Huduma zinazotolewa ni mbaya, na unadhibitiwa vikali na serikali.
Ripoti ya Shirikisho la kimataifa kuhusu masuala ya mawasiliano inasema kupenya kwa huduma za mtandao wa intaneti nchini Eritrea ni juu ya asilimia 1.
Wananchi wanapaswa kujisajili serikalini ili kupata kadi ya simu.
Na hata ukupata kadi, huwezi kuitumia ili kupata mtandao wa intaneti kwa sababu hakuna data.
Watu hulazimika kupata mtandao wa kutumia WiFi, lakini mtandao uko chini sana. Kuingia kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Twitter, watu hutumia mtandao wa VPN (virtual private network) ili kuzuia udhibiti wa serikali.
Kwa kuwa kuna ugumu mkubwa wa kupata kadi za simu, watu bado wanategemea simu za Umma za kulipia kabla ya mazungumzo.
2) Watu hutoa hela ndani ya benki pekee
Hela ya Eritrea
Serikali imeweka sheria kali kuhusu kiasi cha fedha kinachotolewa na wateja wa benki kutoka kwenye akaunti zao.
Hata kama wana mamilioni ya fedha katika akaunti zao, wanaruhusiwa kutoa kiasi cha dola za Marekani 330 kwa mwezi.
Wafanyabiashara hupendelea kuwa na fedha mkononi kwa kuwa mzunguko wa fedha ni mdogo.
Hakuna mashine za kutoa fedha (ATM) nchini Eritrea .Ikiwa kuna shughuli ya harusi siku za usoni, na wahusika wakihitaji fedha zaidi, huomba barua ya kibali kutoka serikalini kwenda benki , na kuruhusiwa kutoa zaidi ya kiasi kilichowekwa na serikali.
Raia wa Eritrea wametoa maoni tofauti kuhusu sababu za serikali kuweka vikwazo katika kutoa fedha. Baadhi wanasema nia ya serikali ni ''kujenga tabia za watu wenye kujiwekea akiba na kupambana na gharama za maisha'' wengine wakisema kuwa ''serikali haipendi shughuli za kibiashara. Hivyo kudhibiti mzunguko wa fedha''.
3) Kuna televisheni moja pekee nchini humo.
Watu wengi wanapenda kutazama chaneli za kigeni za televisheni
Eri-Tv ni televisheni pekee iliyo nchini ya serikali ya Eritrea. Ni chombo kinachoisemea serikali, lakini ukiwa na satelaiti unaweza kutazama televisheni nyingine za kimataifa.
Kamati ya kutetea waandishi wa habari (CPJ) inatazama kwa karibu suala la uhuru wa vyombo vya habari nchini Eritrea, ikiitaja kuwa nchi inayodhibiti zaidi uhuru wa vyombo vya habari'', nyuma ya Korea Kaskazini.
Hatahivyo, Waziri wa habari Yemane Meskel anasema kuwa asilimia 91% ya nyumba za watu zina mabeseni ya satelaiti.
4 ) Vijana wadogo wanataka kuondoka
''Kupata pasi ya kusafiria ni kama ndoto iliyokuwa kweli,'' anasema kijana mmoja.
Lakini anasema vijana hawapewi pasi za kusafiria mpaka baada ya kufuzu mafunzo ya jeshi.
Wengine huhatarisha maisha kwa kufanya safari wakivuka bahari ya Mediterrania ili kufika Ulaya, wengi hufa kutokana na njaa na kiu kwenye jangwa na baharini.
Mimi sijui huwa wanafaidika nini kwa kuwaonea watu wao kiasi hiki.
Asante kwa nondo mkuu upo vizuri.Niliwahi kufika Massawa mji wa bandari wa Eritrea katika harakati za kutafuta maisha. Wakati wa ujenzi wa barabara kutoka Massawa kwenda Asseb.
Miongoni mwa safari zilizonikatisha tamaa sana kutokana na hali mbaya niliyokutana nayo.
Hali yao ni duni sana hasa ikielezwa kwa sababu ya Vita kati yake na Ethiopia (miaka hiyo)
Mambo machache kuhusu Eritrea
1. Nchi ina mfumo wa Chama kimoja na Rais wake ni Isaias Afrwerki ambaye amekuwa rais tangu 1993.
2. Hakuna uchaguzi ambao umewahi kufanyika
3. Nchi ina rekodi mbaya kwenye Haki za Binadamu inaifuatia Korea Kaskazini kwa rekodi mbaya zaidi.
4. Inakadiriwa ina idadi ya watu takribani milioni tano.
5. Vyombo vyote vya habari vinamilikiwa na serikali.
6. Kuna vyuo vikuu viwili tu ambavyo ni Asmara University na Eritrea Institute of Technology.
7. Wana shirika la ndege linalomiliki ndege moja tu Boeing 767-366/ER
8. Kuna wanawake wazuri sana, wanafana sana na Waethiopia.
9. Mjini Massawa kuna vijana wengi wa Kitanzania ambao hufanya kazi kwenye kampuni za Kichina kwenye miradi ya ujenzi.
Nilibahatika kukutana na vijana zaidi ya 40 wa Kitanzania na Kenya.
10. Waeritrea ni wapole sana. Si mahali ambapo kuna fujo na uhuni sana.
Ayaaaaa! FGM tena?Mkuu ni warembo kweli ila mila zao za kutoa FGM sijui Kama wameacha



huko europe mbona mbali.Wana njaa sana ukiwakuta wanaishi Europe na America walivyo na dharau utafikiri kwao kuna neema
Mbona kama wana furaha??mi nachangamsha tu mjadala. hawa ni wanawake wa ki-eritrea.View attachment 1234372View attachment 1234374View attachment 1234375View attachment 1234376View attachment 1234377View attachment 1234378View attachment 1234380View attachment 1234382