bongonyoo
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 604
- 888
hapo ndo nimekuelewa sasa,,mwanadam yyt lzm kuna mahali atakosea na akubali kurekebisha alipochemka,,,umesomeka mkuuMagufuli anafanya vizuri na pia anamakos anayofanya,
hapo ndo nimekuelewa sasa,,mwanadam yyt lzm kuna mahali atakosea na akubali kurekebisha alipochemka,,,umesomeka mkuuMagufuli anafanya vizuri na pia anamakos anayofanya,
Nadhani CCM wenyewe walishawishiwa kuanza kufanya mabadiliko ambayo mwl aliyapinga binafsi.Hio misingi ndio imetufikisha kwenye udikters
Asalaam alaikum. vipi hali zenu popote mlipo? Nahitaji cours ya After effet vidio production. Hivyo naomba kuelekezwa chuo au mtu anaye weza kunisomesha pesa zipo na sihitaji lazima niwe na cheti. +255624960047 (call & whatsapp) ~ +255777496444 (whatsapp only)Nadhani CCM wenyewe walishawishiwa kuanza kufanya mabadiliko ambayo mwl aliyapinga binafsi.
Na mabadiliko hayo yalikuwa ya kuuza utaasisi wa chama na kufanya chama kiwe mali ya mtu.
Ni ujinga hata kama unamuamini mtu kiasi gani huwezi kumuuzia haki zako
Hasa suala la kumfanya mtu mungu mtu kama walivyomfanya Magufuli.
Mbali na mapenzi yao kwa Nyerere enzi hizo lakini ndani ya vikao vya chama alikuwa criticized hiyo ndiyo ilikuwa taasisi.
Hivyo ni vyuma vitupu Chief!mi nachangamsha tu mjadala. hawa ni wanawake wa ki-eritrea.View attachment 1234372View attachment 1234374View attachment 1234375View attachment 1234376View attachment 1234377View attachment 1234378View attachment 1234380View attachment 1234382
Shida sana!Wanafanana kwa kiasi kikubwa na wakoloni wao Waethiopia. Ethiopia hairuhusuiwi kwa raia kuwa na akaunti ya $ hata kama mwajiri wake analipa kwa $. Na kwa wageni kama watu wanaofanya kazi balozini wanaruhusiwa kutoa kiasi kidogo tu (nadhani US$300 hivi) tu tena baada ya kuonyesha tiketi ya ndege kuwa una safari ya nje ya nchi. Yaani hao Waeritrea wamechukuwa sheria za Waethiopia waliowatawala kama sisi tulivyochukuwa za Waingereza hata baada ya kupata uhuru wetu. Kama maisha yalivyo magumu Eritrea, ndivyo yalivyo magumu Ethiopia. Kama kulivyo na kampuni moja ya simu Eritrea, hivyo hivyo Ethiopia. Kama Waeritrea wanavyokimbia nchi yao, hivyo hivyo Waethiopia.
Noma sana!Wewe na wenzako hamjui mnachoongea. Eritrea na Ethiopia walianza hivi hivi kama Jiwe anavyo-jimwambafai. Mara hiki kimezuiwa leo, mara kile kimezuiwa kesho. Mwisho wakafika hapo walipo leo. Kama hamna akili ni vizuri kunyamaza na kula ugali wenu kimya kimya na kuwaacha wenye akili walinde uhuru wenu wa kikatiba.
Shida sana!Mkuu naona unatoka usingizini. Hakuna aliyemtaja Nyerere hapa. Tafadhali endelea kulala tu. Naona watu wameku-disturb...
Mbona wenzio unawatakia mabaya? Mpende asiekupenda bhanaHuko panawafaa Chadema wakajue maana ya udikteta.
Wenzetu mnapata wapi exposure ya kutalii nchi hiivi.? Jamani, wengine sisi toka tumezaliwa tuko Tanzania tu. Lakini ukiingia Jf, unasikia mara niko Eritrea, mara USA, Congo, Nigeria, Misri, nk. Wengine sisi tutatebeaga lini kupanua fikra.? Tupeni njia jamani ...Nilikuwa Asmara mwezi May mwaka huu, mmoja wa mbongo tuliyekuwa naye, akamtania binti mmoja kuwa anataka kumuoa aje naye Dar, ilikuwa shida....binti alifurahi sana na alikuwa tayari kabisa.........wako desperate sana, wanaishi kijamaa. Na cha ajabu, kama umeingia Asmara, huruhusiwi kwenda mji mwingine bila kibali, hata kama walikupa viza.
Nenda Veta yoyote au vyuo vya ufundi pia kama DIT, ATC au MUSTAsalaam alaikum. vipi hali zenu popote mlipo? Nahitaji cours ya After effet vidio production. Hivyo naomba kuelekezwa chuo au mtu anaye weza kunisomesha pesa zipo na sihitaji lazima niwe na cheti. +255624960047 (call & whatsapp) ~ +255777496444 (whatsapp only)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanamuziki mmoja aliwahi kuimba "nakwenda Eritrea, tutaonana badae"mi nachangamsha tu mjadala. hawa ni wanawake wa ki-eritrea.View attachment 1234372View attachment 1234374View attachment 1234375View attachment 1234376View attachment 1234377View attachment 1234378View attachment 1234380View attachment 1234382
Jiulize kuhusu bongo 2015/21. Kama sio Sir God kuingilia ugomvi sijui tungekuwa wapi!Hivi inakuwaje mtu mmoja anaweza kuwaburuza mamilioni atakavyo?.Ndio kusema Africa hamnaga wana mapinduzi wa kweli.