Wana Jf wa Mwanza nikianza na Judgement na charminglady naomba kuwajulisha kuwa ntakuwa jiji humo nikila samaki kuanzia kesho so kwa atakayeweza kupata nafasi atanijulisha walau nimsalimie!
b52
Hakuna shida charminglady yutanikuta madame ila sema namimi nimetoka kidoogo ila tutawasiliana
Duzente Siqwente nimetoka nje ya mji kidogo ntakutafuta Jumamosi kama utakuwepo.b52 uko wp me nko nyamaghana
Duzente Siqwente nimetoka nje ya mji kidogo ntakutafuta Jumamosi kama utakuwepo.